Hivi Mr. Nice uchawi wake alichukua wapi?

Mr Nice alifulia kwa ajili ya ujinga wake tu
Kijipesa alitengeneza sema hakuwa na mipango
Mimi mwenye mpaka leo namdai 20000/ nlimuazima kabla hajaingia kwenye mziiki
Akawa maarufu tu bado alishindwa nilipa
Mpaka leo hiii.....
Kwa hiyo kupotea kwake hakuna cha ndumba
Wala nini yeye mwenyewe hakujipanga

Ova
 
Tusipende ku judge lakini...

Huyu jamaa mbona maisha yake yamesha turn around.. ana account yake insta ukiangalia picha you can sense.

Ila naona yupo kwenye amani na anaishai poa tu. Tusipende kufuruhia maanguko ya wenzetu
 
Matumizi makubwa sana ya pesa na wapambe...sasa mtu alikuwa anakula kila siku laki 8 hadi milioni enzi hizo miaka 20 iliyopita
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom