Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 36,592
- 41,866
Mtu yoyote anaweza kuona wewe ni mjinga na mpumbavu.Mwandishi anamaanisha mengine,wewe unaandika mengine.Ficha ujinga wako!!
Bora mjinga na mpumbavu kuliko hayawani
Mtu yoyote anaweza kuona wewe ni mjinga na mpumbavu.Mwandishi anamaanisha mengine,wewe unaandika mengine.Ficha ujinga wako!!
My role model for sure I like the giyYou have spoken my mind.... am watching Mo closely and grab what I can grab from him. He is extraordinary. One day YES, it all depends on the inside.
Miongoni mwa maeneo ambayo Mo anacheza nayo vizuri kiasi cha kuwapiku competitors wake ni "lobbying". Mo hakuingia kwenye siasa za kibunge kijinga kijinga, alikuwa na mahesabu makali na aliitumia vizuri sana miaka yake mitano ya ubunge. Kwenye biashara kubwa kama hizo bila kuwashika policy makers huendi kokote!Sidhani, TV na decorder wanadeal wengine, unga wengine, vinywaji wengine, Kuna divisions mbalimbali.
Biashara Ni ushindani, mwenzio anaangalia SWOT zako anazitumia kukupiku. Mo Ni Mjanja mno.
Karibu katika dunia ya masoko...Mimi nafikiri moja ya ujanja anaotumia MO ni kuuza bidhaa zinazofanana na za washindani wake kwa bei ya chini kidogo japo anaweza kupunguza ujazo kidogo,ni kama anacheza na akili za wabongo
Hahaa mkuu acha tu mpaka Makanya same ni Mohamed Enterprises Tanzania ltd.Hujamuona More kule Tanga/Same ,sijui tuseme yeye kauziwa mkoa a Kanda ,maana anamiliki Nashamba ya Katani kuanzia Tanga mpaka Mashamba yatakapoishia,yale Mashamba huwa sijui mwisho wake kila nikijaribu kuyanotice nikiwa kwenye safari najikuta nimesinzia
Mnafiki ni yule ambae kwenye stori yake anaegemea upande mmoja kwa kukandia upande fulani..We must call spade a spade and not a big spoon.
Ukiamua kuacha unafiki pembeni utagundua hakuna team hapa kuna ukweli .
Nilikua sijawahi notice sema baada ya thread kama mbili kukuhusu na mimi nikawa nakuona so just keeping on your trend to say be first to replyTeh teh mmeshaanza tayari Aseeeh
Hivi sisi Waswahili tutaacha lini kulamba miguu ya watu. jiulize wewe umefanya nini? kuliko kutoana mishipa kwa ajili ya kusifia kazi na biashara za watu. Be smart Bandugu. Mnatua aibu.Boss unaongea nini?!
Wewe unasema Bakhressa anakimbiza mwenzio anatama hata Mo afe kesho. Ingia mtaani uone kama kuna maji ya Uhai kama zamani, Ukigeuka kushoto unakutana na Maisha, ukigeuka kulia unakutana na Masafi. Hivi tuseme ukweli kati ya Mo energy na Azam energy ni ipi makopo yake yametapakaa mtaani. Yani huyu jamaa ana mavinywaji mengi hata ukumbuki majina.
Angalia mashamba aliyonayo Dewji mashamba ya Chai, Kahawa, Palm oil, korosho karibia hekari mil 2 kwa ujumla... utamfananisha na kina Bakhressa?! Dewji mwenyewe anakwambia by 2018, yani mwakani anataka ashike $5 bil.
Usione Vodacom ipo hewani na inasimamia ukucha, Dewju ana mkono wake pale, umewahi kusikia Zefona Cellines - hiyo ni mali ya Dewji. Dewji anatoa financial services kupitia ile kampuni yake ya Mo Assurance mabenki kibao, mwaka jana mwanzoni kama sichanganyi Mo alikua na plans za kununua Barclays Bank Africa. Unaijua kampuni inaitwa Genrich, inahusika na usafirishaji... boss acha kumlinganisha Mo na wazee wetu wa zmn ambao tunawaheshimu sana.
Unafahamu kuwa Dewji ana kampuni ya Real estate kubwa sana, anamiliki properties ambazo zinaweza kumchukua Bakhressa miaka 20 kua nazo kutoka leo. Khaki complex ni mali ya Dewji, JV complex ni mali yake, kule Kigamboni kadaka Plot ya kufa mtu - tusubiri mavitu atakayoshusha hapo, yeye anakwambia anajenga 5 star hotel hadi Serena wataomba Poo, pia kuna makazi ya mid class people anajenga Mbezi na Kitunda km sikosei...
Katika vitu ambavyo namheshi Bakhressa ni Azam Tv... Hapa alijua kumnyoosha Dewji, lkn Dewji ndio Baba la capitalism, ngoja aibuke na maving'amuzi ya 6000 kwa mwezi.
Boss huyu jamaa achana nae tu.
Mimi huwa siandiki be the first to reply mkuuNilikua sijawahi notice sema baada ya thread kama mbili kukuhusu na mimi nikawa nakuona so just keeping on your trend to say be first to reply
hayo ma mo cola,azam cola,mo embe,n.k mi sijawahi kabisa kuwaza kama ntakunywa mmeshikwa nyinyi tu na poleni sana
Yaani kama anatengeza haraka haraka ili aviwahishe sokonishida ya vinywaji vya Mo havina taste nzuri kuanzia maji yake (masafi) hadi hizi soda zake
Hujamuona More kule Tanga/Same ,sijui tuseme yeye kauziwa mkoa a Kanda ,maana anamiliki Nashamba ya Katani kuanzia Tanga mpaka Mashamba yatakapoishia,yale Mashamba huwa sijui mwisho wake kila nikijaribu kuyanotice nikiwa kwenye safari najikuta nimesinzia
Situmii bidhaa ya MeTL hata moja,hakuna ubora kabisa,labda ngano POAHabari.
Kwa ufupi kabisa niseme tu binafsi nilifika Dsm miaka 6 nyuma nilizikuta na kuzifahamu products kutoka kwa Barharesa almaarufu Azam tu, huku Mo akiwa anatetea taaratibu,ila kwa sasa naweza sema speed ya Mohamed Enterprise ni ya kasi ya ajabu.
Sasa naona mapinduzi makubwa ya bidhaa za MeTL sokoni, aisee kalishika soko kisawasawa tena rapidly sana , bidhaa za Azam zinaonyesha kuporomoka kimauzo taaratibu.
Si kwa bidhaa hizi za vinywaji na vyakula tu , jamaa sasa kaenda mpaka kwenye Friji,na Vifaa vingine vya majumbani.
Ukipita pita mijini huko Ukipepesa huko na huko lazima utakutana na neno MO ama MeTL.
My take
Yapo mengi ya kujifunza katika ushindani wa soko kutoka kwa huyu mtu.
NB: Sijamtumia Bakhresa kwa maana mbaya(anaweza pia kujitafakari kutokana na maoni ya wateja wake tunavyoona kudhibiti ushindani huu), bali nimemtumia kama Refference ya Mshindani mkubwa kibiashara zidi ya Mo..
Hongera sana Mo..
Highway zote lazima ukutane na malori mabovu ya metl yamekufa njiani.Wakati Azam ana actros,volvo za kufa MTU.Ana viwanda msumbiji,Malawi,Burundi,Rwanda,uganda na soon Kenya.Bakhresa hana mkopo wa benki yoyote hapa tz,wakati MeTl ndiyo anaongoza Kwa deni stanbic.MeTL mtoto sana Kwa AzamBoss unaongea nini?!
Wewe unasema Bakhressa anakimbiza mwenzio anatama hata Mo afe kesho. Ingia mtaani uone kama kuna maji ya Uhai kama zamani, Ukigeuka kushoto unakutana na Maisha, ukigeuka kulia unakutana na Masafi. Hivi tuseme ukweli kati ya Mo energy na Azam energy ni ipi makopo yake yametapakaa mtaani. Yani huyu jamaa ana mavinywaji mengi hata ukumbuki majina.
Angalia mashamba aliyonayo Dewji mashamba ya Chai, Kahawa, Palm oil, korosho karibia hekari mil 2 kwa ujumla... utamfananisha na kina Bakhressa?! Dewji mwenyewe anakwambia by 2018, yani mwakani anataka ashike $5 bil.
Usione Vodacom ipo hewani na inasimamia ukucha, Dewju ana mkono wake pale, umewahi kusikia Zefona Cellines - hiyo ni mali ya Dewji. Dewji anatoa financial services kupitia ile kampuni yake ya Mo Assurance mabenki kibao, mwaka jana mwanzoni kama sichanganyi Mo alikua na plans za kununua Barclays Bank Africa. Unaijua kampuni inaitwa Genrich, inahusika na usafirishaji... boss acha kumlinganisha Mo na wazee wetu wa zmn ambao tunawaheshimu sana.
Unafahamu kuwa Dewji ana kampuni ya Real estate kubwa sana, anamiliki properties ambazo zinaweza kumchukua Bakhressa miaka 20 kua nazo kutoka leo. Khaki complex ni mali ya Dewji, JV complex ni mali yake, kule Kigamboni kadaka Plot ya kufa mtu - tusubiri mavitu atakayoshusha hapo, yeye anakwambia anajenga 5 star hotel hadi Serena wataomba Poo, pia kuna makazi ya mid class people anajenga Mbezi na Kitunda km sikosei...
Katika vitu ambavyo namheshi Bakhressa ni Azam Tv... Hapa alijua kumnyoosha Dewji, lkn Dewji ndio Baba la capitalism, ngoja aibuke na maving'amuzi ya 6000 kwa mwezi.
Boss huyu jamaa achana nae tu.
Habari.