Hivi Mh. Hamad Rashid yuko chama gani ?

kama tutakubali utaratibu huu wa watu kudharau na kupuuza maamuzi ya vyama vyao kwa sababu ya kulindwa na dola ni bora turudi kwenye mfumo wa chama kimoja .

Huu utaratibu wa kuabudu haya mavyam a ndiyo yaliyotufanya tuwe maskini mpaka leo.

Viongozi wengi wa ccm wanashindwa kuchukua maamuzi kwa maslahi ya wananchi kwa kuhofia huu upuuzi wa chama.

Tuache ukasumba wa kuabudu vyama kwani kuna watanzania wengi zaidi hawana vyama na wana haki sawa na walioko kwenye vyama.

Tusiwafanye wanasiasa wajione wanahaki zaidi kuliko wasio na vyama.
 
ni kweli tusiabudu vyama lakini pia tusisaliti kishamba namna hii vyama vyetu , na hasa kama usaliti wenyewe unatokana na njaa au tamaa ya vyeo .
 
Mtoa post, kwan nani kakuambia Hamad Rashid ni mwanachama wa ADC?
Mwenyewe anajua ni CCM maana ADC alitimuliwa! Shain aliwaza, kwa kuwa mshikaji alijitosha ili kuwatumikia wananchi lakin chama chake pia wakambwaga, basi akaona amteue kwa mjumbe wa baraza la wawakilishi na hatimae kuwa waziri ili ndoto yake ya kuwatumikia wananchi itimie! Msikatishe ndoto ya mtu ya kutumikia nchi yake kisa vyama!
 
ukinisoma vizuri utanielewa , mimi sina uwezo wa kuzuia riziki za huyu mh , bali ninachotaka ni kueleweshwa tu , itamkwe kwamba Mh Hamad Rashid kutoka kijiweni ameteuliwa kuwa waziri , lakini tusilete uongo kwamba kateuliwa kutoka vyama vya upinzani , hususani ADC , huyu jamaa alitimuliwa .
 
Back
Top Bottom