Hivi Mchungaji mwanamke anatongozwaje?

Tafuta shati zuri la kitenge, hakikisha suruari yako ya kitambaa imenyooshwa vyema, mfuate umueleze shida yako kwa namna ambayo utakuwa kama unamshuhudia maono uliyopata baada ya kuomba kwa mda mrefu upate mke, Mwambie unamuomba aingie kwenye maombi ili afunuliwe kama maono yako ni ya kimungu. Hata akionyesha kukukubalia haraka uwe unasita sita kidogo ukimuomba mshirikiane katika maombi ili mufunuliwe kama ni mapenzi ya Mungu, usisahau kububujikwa na machozi
Umetisha mdau
 
Nimejiuliza hili swali sijapata jibu,

Hivi kiongozi wa kanisa mwanamke mchungaji kwa kawaida kama hajaolewa na ikatokea umependa hivi unaanzaje anzaje kumuanza hadi akukubalie na je kabla hujaanza kuomba urafiki nae inabidi mtu uweje kimuonekano labda.
Mwanamke hawi mchungaji hadi aolewe na ukimkuta hana mume labda mumewe alifariki.
 
Back
Top Bottom