Hivi marehemu Ndugulile alipigiwa Kampeni kama hizi anazopigiwa Profesa Janabi?

Hizi Kampeni za kutaka Prof: Mohamed Janabi awe kiongozi wa WHO Afrika naona kama vile zimekuwa kubwa Sana.

Harakati kama hizi pia zilifanywa Kwa Faustine Ndungulile wakati anagombea?

Maana naona mpaka Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naye yumo!
Jibu ni ndio ,hata hivyo Janabi ni mshikaji wa JK so Jamaa yake lazima amsaidie.
 
Hizi Kampeni za kutaka Prof: Mohamed Janabi awe kiongozi wa WHO Afrika naona kama vile zimekuwa kubwa Sana.

Harakati kama hizi pia zilifanywa Kwa Faustine Ndungulile wakati anagombea?

Maana naona mpaka Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naye yumo!
Wee Mzee tufanye kaz nyingine Tz waachie wenyewe ukifukua sana makaburi unaweza jikuta unabaki kwenye shimo na hii ndio tz mkurugenzi amepata ajali akikwepa muendesha baiskel saa nane usiku na lili kuwa kosa la dereva ambaye pia ni marehem.. dereva wa lori amekimbia ila hana makosa.... upoooooooo
 
Hizi Kampeni za kutaka Prof: Mohamed Janabi awe kiongozi wa WHO Afrika naona kama vile zimekuwa kubwa Sana.

Harakati kama hizi pia zilifanywa Kwa Faustine Ndungulile wakati anagombea?

Maana naona mpaka Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naye yumo!
Kwani huyo hayati Dr.Faustine Andungulile, alikua ana pambana na watu wa aina gani wakati ule gentleman ukilinganisha na sasa hivi?🐒
 
Una maana gani unaposema watu wa aina gani? Watu si kama wewe na mimi?

Kiti kile kizito na kina maslahi ya wengi. Ngoja tuone outcome.

Lakini interests za binadamu ndio zile zile. Hazijawahi kuwa tofauti
 
Kifupi ni kwamba hata hiyo fursa ya uko,Ndugulile aliiona mwenyewe,maana si unajua wengine uku wapo bize na mapozisheni ya kula usawa wa kamba?
Baada ya kushinda ndo wakakimbilia kwenda kuuliza hivi akifa huyu tutapewa nafasi?,walivojibiwa ikawa historia kwa bwana fau.
Bwana fau, alitangulizwa na watu wetu wenyewe kwa ajili ya hiyo nafasi.
 
Una maana gani unaposema watu wa aina gani? Watu si kama wewe na mimi?

Kiti kile kizito na kina maslahi ya wengi. Ngoja tuone outcome.

Lakini interests za binadamu ndio zile zile. Hazijawahi kuwa tofauti
do you think Faustine alihitaji nguvu sana kuwakabili opponents wake wakati ule licha ya kwamba Rais alimtumia Dr.Tuliana na yeye akamalizia kampeni kwenye mkutano wa AU?

Opponent wa Mohamed Janabi ni wa viwango vingine kabisa, ndio maana diplomasia ya kipekee na ya ziada sana inafanywa na Dr.Samia Suluhu Hassan kupitia mstaafu Jakaya kufanikisha azma ya Prof.Janabi 🐒
 
Quid Pro Quo.......
 
Back
Top Bottom