Hivi Makonda anafanya nini USA?

Anafanya yakwake na familia yake, sasa sisi tuanze kumfuatiria si tutaitwa wambea??
Mwache afanye mambo yake kwa ajili ya familia yake au hata kwa manufaa yake tuuu

Sisi tunamuomba Mungu amurudishe salama salimini kamanda wetuu.
Kamanda wako au kamanda wetu! Utakuwa umekosea hapo mkuu! Fanya Editing maana sisi hatuna makamanda wa aina hiyo
 
Namwombea angalau aige tu aje hapa asimamie anachokiamini na alichokiona kwa wenzetu! Ila huu utaratibu holela aliouruhusu kwa hapa dar ni aibu! Unashindwa kupanga kwako unaenda kupata upepo kwa jirani?
 
Post za kwenye Instagram kwa sasa zimehamia Jamiiforums, mbaya zaidi zimeanza kuwekwa mpaka kwenye jukwaa la kisiasa!

Utoto umekuwa ni mwingi halafu cha kushanga zaidi, inawezekana mleta mada ni Uni Graduate.
Hahaha ccm bwana mkulu alisema kuwa kipindi cha JK watu walikuwa wanaenda Ulaya kama. Mwanza sasa nimefahamu kuwa kila utawala na wanufaika wake saa hizi mkulu hawezi kumgusa makonda
 
Itakuwa kaenda kupiga picha na Donald Trump pamoja na kuredi video za mafatiki-fataki kipindi cha Uapisho wa rais huyo!
 
Mwacheni apumzike anakula matunda ya yale aliyofanya pale ubungo plaza!!!
 
Makonda Akisimama new York amesimama mungu.
Huu ulevi wa madaraka wa ccm utawatokea puani cku moja
 
Anahangaika walau apate hata wa kupandikiza.

Njia za kawaida imeshindikana.

Msishangae anapotoa matamko ya ajabu ajabu...

Ana mambo mengi kichwani pamoja na hili.
 
wewe ndiye uliyemtuma uko au majukumu yake ya kila anarepoet kwako mpaka uhoji? vipo vingi vya kuoji vyenye direct +ve impacts kwako binafsi na jamii kwa ujumla mkuu
 


Wakati wengine wote Kusafiri Wamekatazwa, Mpaka Kibali cha Rais, Naona huyu Bwana mdogo yupo USA akishangaa shangaa. Pia nimeona akiwa na Baadhi ya Wengine! I hope ameenda Usa Likizo na Kisha Ajirudie zake Tz salama. Ila kama kafuata mengine ajue USA ni Backyard za Wengine sio Kama Ukumbi wa Ubungo alipomlabua Mh. Warioba kibao.

Pia I hope Kwa Kuwa "Hapa kazi tu" hana Upendeleo, Wakuu wote wa Mikoa wakipata Likizo nao wapelekwe Italy au USA au France etc!

Acha umbea hayakuhusu
 
Back
Top Bottom