dindilichuma
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,719
- 2,671
Watanzania wanetaka kuwe na wabunge wengi wa CCM bungeni.
NS kachaguliwa kihalali na yuko kws mujibu wa sheria, kumtoa kwa kuzira sidhani kama inaweza kuwa sawasawa labda atolewe kisheria kama akivyoingia.
Kuzira huku mtaani huwa inaonekana ni tabia za jinsia ya kike zikifanywa na wanaume tunaweka ????
Cha kufanya sio kusemelea kwa rais ni kufuata taratibu na kumtoa NS kwa mujibu wa sheria wakishindwa hilo hawana budi kuendelea na shughuli wasubiri uchaguzi ujao