Daaah yaanii unachokutana nacho wewe mimi ndio nakiishi,na Sitaki hata kujua kwanini ananuna akinuna mimi nauchuna mwenyewe atajichekesha baada ya muda fulani!Bwana Yesu asifiwe wapendwa?naomba kuuliza,hivi inakuaje mtu kaamka tu kutoka kitandani huku kavuta domo bila hata kuuziwa,nimemsalimia kaitikia kama hataki vile,nimemuulza kama anaumwa nimpeleke hospital kasema haumwi,nimeenda job nkaona ngoja nimpigie labda kuna mahali nimekosea,ila cha ajabu kapokea cmu afu haongei.hivi wanawake huwa wana mapepo ya kununa bila sababu wakuu?
Teh teh teh...hyo no 3 unakuwa ni unit ngap kwa mfano
Hiyo ni tabia ya kike kama haujawahi kununa kafanye hormone check unaweza UKAWA na hormone za kiume!sorry kama nimekukeraUsiseme wasichana Sema msichana wakoo... Mie sijawahi kununa bila sababu
Labda kakumbuka x wake teh
Mweeh mweeh mweeeh!Sina aisee..Na mwanamke anayedeka ananibore kupitiliza
Haa haa haa wee nomaaaaSi tunanuna ili tubembelezwe! Na raha ya mbembelezo upate wa kukubembeleza wallah raha sana.... Tena umenikumbusha ngoja nikanune
Hapa nshajinunisha mwenzio,Haa haa haa wee nomaaaa
Nahisi amejiunga na kifurushi cha mwaka..Sema namuonea macho..sababu ya hali yakeShost vipi amesitisha minuno??
Usijali ... Ila mesema bila sababuHiyo ni tabia ya kike kama haujawahi kununa kafanye hormone check unaweza UKAWA na hormone za kiume!sorry kama nimekukera
ukiona demu kakununia asubuhBwana Yesu asifiwe wapendwa?naomba kuuliza,hivi inakuaje mtu kaamka tu kutoka kitandani huku kavuta domo bila hata kuuziwa,nimemsalimia kaitikia kama hataki vile,nimemuulza kama anaumwa nimpeleke hospital kasema haumwi,nimeenda job nkaona ngoja nimpigie labda kuna mahali nimekosea,ila cha ajabu kapokea cmu afu haongei.hivi wanawake huwa wana mapepo ya kununa bila sababu wakuu?
Only 1 unit left!!
Hata mababu wa enzi zile hawa kuwa na majibu sembesu sisi.Bwana Yesu asifiwe wapendwa?naomba kuuliza,hivi inakuaje mtu kaamka tu kutoka kitandani huku kavuta domo bila hata kuuziwa,nimemsalimia kaitikia kama hataki vile,nimemuulza kama anaumwa nimpeleke hospital kasema haumwi,nimeenda job nkaona ngoja nimpigie labda kuna mahali nimekosea,ila cha ajabu kapokea cmu afu haongei.hivi wanawake huwa wana mapepo ya kununa bila sababu wakuu?
Haswaaaa shoga ukweli kikubwa kinachonunisha mwanamke ni kubembelezwaKama hujabembelezwa siku nyingi unajinunisha eee
Nimepata jibuNi kawaida mkuu hasa wakiwa kwenye siku zao, ni tatizo la kisayansi so don't mind, just show love.
TrueWanawake are complicated creatures........
Wahurumiwe tu, hawa viumbe wanaongozwa sana na hisia ktk mambo yao
Thats me I will change for sureNa mijanaume inayonunaga inanunaga nini
Ni mtu tu kakerwa na kitu halafu hasemi anategemea usome mawazo yake .... Not cool