Hivi kwanini pakstani inawafukuza mamilion ya wa afghanistan? Wakati wote ni jamii moja na majarity ni dini Moja?

Khanji kapoor

JF-Expert Member
Oct 19, 2024
1,943
4,595
Wa afghanistan wanateseka Sana nchini pakstani

Wanafukuzwa ila hawataki kuondoka wanasema wakirudi maisha yao yanakuwa hatarini

Hata hivyo pakstani imewabeba kinguvu na kuwarudisha kwa maelfu!

Ninachojiuliza dini ya kiislam inahamasisha muislam mpende muislam mwenzako na hizi nchi asilimia kubwa ni km za kiislam kwanini wasiwahifadhi waislam wenzake?

Nb afghanistan inaongozwa na talban (chama kinachofuata itikadi za kiislam)
 
Sio jamii moja kihivyo, jamii kubwa ya Afghanistan ni Pashtuns wakati jamii kubwa ya Pakistan ni Punjabis. Pakistan iko na undugu mkubwa zaidi na jamii za India wakati Afghanistan iko na undugu mkubwa zaidi na jamii za Iran, Iraq, Uzbekistan, Tajikistan na Turkmenistan.
 
Wa afghanistan wanateseka Sana nchini pakstani

Wanafukuzwa ila hawataki kuondoka wanasema wakirudi maisha yao yanakuwa hatarini

Hata hivyo pakstani imewabeba kinguvu na kuwarudisha kwa maelfu!

Ninachojiuliza dini ya kiislam inahamasisha muislam mpende muislam mwenzako na hizi nchi asilimia kubwa ni km za kiislam kwanini wasiwahifadhi waislam wenzake?

Nb afghanistan inaongozwa na talban (chama kinachofuata itikadi za kiislam)
Khanji hapo marekani na kwa raisi huyu trump ambaye ni mkristo na anaupenda kwelikweli anafukuza wakristo wenzake kwa nini🤣

Kuongoza nchi kuna vifungu na milengo fulani ya kidini unaweka pembeni.

Mambo sio rahisi namna hiyo
 
Sio poa boss nimeona wanasombwa km mifugo tu 😁

Lkn imani inakataza
 
Hawa wanaorudishwa Afghanistan ni kama mbuzi wa kafara tu. Pakistan na hao Taleban wana ugomvi wao, Pakistan wanawashutumu Taleban kuwasaidia wanamgambo waasi, wawashambulie Pakistan na mengine mengi, huwa wanazichapa pale mpakani.

Sasa kwa hasira Pakistan wamewarudishia wananchi wao, nadhani toka 2023 hilo zoezi linafanyika. Hata uwe ulizaliwa Pakistan ila ni Muafghanistan unarudishwa. Ni visasi tu wanawasingizia hawa wahamiaji ni tishio kwa usalama. Upande wangu naona kama mambo ya Congo na Rwanda. Tit for tat.
 
Uislamu sio DINI ni mfumo flani ndio mana Leo hii ukipiga Wayahudi michango Dunian kote kwa watu waliompokea YESU kuwa bwana na Mwokozi watawasaidia Imeandikwa amebarikiwa aisaidiaye Israel na amelaaniwa ailainiaye israel
Sjakuelewa boss apo jaribu kutenganisha
 
Asante kwa comment yako inaonyesha wa afghanistan ndio wachokozi ndio maana wanarudishwa?
 
Uislamu sio DINI ni mfumo flani ndio mana Leo hii ukipiga Wayahudi michango Dunian kote kwa watu waliompokea YESU kuwa bwana na Mwokozi watawasaidia Imeandikwa amebarikiwa aisaidiaye Israel na amelaaniwa ailainiaye israel
Kumsaidia netanyahu na anayoyafanya ukiamini kufanya hivyo utabarikiwa ni mambo ya ajabu kweli kweli ndugu yangu👀
 
Hawa wanaorudishwa Afghanistan ni kama mbuzi wa kafara tu. Pakistan na hao Taleban wana ugomvi wao, Pakistan wanawashutumu Taleban kuwasaidia wanamgambo waasi, wawashambulie Pakistan na mengine mengi, huwa wanazichapa pale mpakani.

Sasa kwa hasira Pakistan wamewarudishia wananchi wao, nadhani toka 2023 hilo zoezi linafanyika. Hata uwe ulizaliwa Pakistan ila ni Muafghanistan unarudishwa. Ni visasi tu wanawasingizia hawa wahamiaji ni tishio kwa usalama. Upande wangu naona kama mambo ya Congo na Rwanda. Tit for tat.
Pakistan haijawahi kuwa na ugomvi na Taliban au Al-Qaeda, serikali ya Pakistan huwa inajifanya tu ili ipewe pesa na Marekani. Makundi ya kigaidi ni mradi wa jeshi la Pakistan na ISI. Shirika la ujasusi la ISI la Pakistan ndio walezi wa magaidi nchini Afghanistan na baadhi ya maeneo ya Pakistan, hata Osama hao ISI walikuwa wanajua amejificha nusu kiliometa tu kutoka chuo kikuu cha jeshi la Pakistan.
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Wa afghanistan wanateseka Sana nchini pakstani

Wanafukuzwa ila hawataki kuondoka wanasema wakirudi maisha yao yanakuwa hatarini

Hata hivyo pakstani imewabeba kinguvu na kuwarudisha kwa maelfu!

Ninachojiuliza dini ya kiislam inahamasisha muislam mpende muislam mwenzako na hizi nchi asilimia kubwa ni km za kiislam kwanini wasiwahifadhi waislam wenzake?

Nb afghanistan inaongozwa na talban (chama kinachofuata itikadi za kiislam)
Noma sana
 
Pakistan haijawahi kuwa na ugomvi na Taliban au Al-Qaeda, serikali ya Pakistan huwa inajifanya tu ili ipewe pesa na Marekani. Makundi ya kigaidi ni mradi wa jeshi la Pakistan na ISI. Shirika la ujasusi la ISI la Pakistan ndio walezi wa magaidi nchini Afghanistan na baadhi ya maeneo ya Pakistan, hata Osama hao ISI walikuwa wanajua amejificha nusu kiliometa tu kutoka chuo kikuu cha jeshi cha Pakistan.
Hali kadhalika usa na cia yake mkuu,

Nanukuu msemo wa Bantu Lady yani ni tit for tat
 
Asante kwa comment yako inaonyesha wa afghanistan ndio wachokozi ndio maana wanarudishwa?
Siyo wananchi wanaorudishwa wachokozi hapana. Wameishi hapo miaka na miaka kama ndugu. Ila toka Taleban karudi kwenye uongozi, imekuwa shida. Kwa hasira Pakistan kaona nina watu wenu, nawarudishia. Ila hawawakomoi Taleban wanaoumia ni wahamiaji.

Ni huruma wanavyorudishwa, wengine ndiyo mara ya kwanza wanakanyaga Afghanistan toka kuzaliwa, hawajui wanaanzia wapi, mbaya mtaleban yuko hapo km kiongozi ni maisha magumu sana.
 
Ni kweli kabisa ukiangalia wahanga ni watoto na wanawake

Dunia ni sehemu katili sana Aman ya kweli ikikosekana
 
Pakistan haijawahi kuwa na ugomvi na Taliban au Al-Qaeda, serikali ya Pakistan huwa inajifanya tu ili ipewe pesa na Marekani. Makundi ya kigaidi ni mradi wa jeshi la Pakistan na ISI. Shirika la ujasusi la ISI la Pakistan ndio walezi wa magaidi nchini Afghanistan na baadhi ya maeneo ya Pakistan, hata Osama hao ISI walikuwa wanajua amejificha nusu kiliometa tu kutoka chuo kikuu cha jeshi cha Pakistan.
Toka Taleban wamerudi, askari wao wa border wamekuwa wakirushiana risasi kwa vitu hata vidogo. Nimemjibu kiujumla ameuliza kwanini wanarudishwa? Sababu ni hiyo ya Pakistan kuwashutumu Taleban kuwaunga mkono wanamgambo. Pia wanaogopa tishio la usalama wao.

Iwe ya kweli ama lah mtu akitafuta sababu ya kukutoa, atatumia hata kitu kidogo uondoke. Pakistani anasumbuliwa na wanamgambo wanaotaka kujitenga, majuzi waliteka treni na kuuwa baadhi hukuona?
 
Back
Top Bottom