kweli kabisa mkuu, scientifically ukikata govi upo safe 60% against H.I.VUna hoja fulani hivi, kwanini Mungu anatoa maamrisho fulani fulani hivi kwanini asingetuacha mpaka mwisho alafu atuhukumu? Ni hekima ya Mungu kutupa miongozo mbali mbali ambayo itafanya maisha yetu kuwa salama na ya afya. Kila amrisho la Mungu linasababu fulani ya kiafya au ya kiusalama kama ni mdadisi unaweza ukawa umegundua hilo. Hivyo Mungu anaona mbali zaidi yetu au anajua hatma yetu. Kata govi kama bado utakua salama
Kweli anazingua, kwanini asingemshusha kila mmoja na staili yake ya nywele anayoipenda? Mfano kiduku au kipara au Mawigi
Au kila mtu na urefu wake wa kucha anaoutaka?
Na mavudhi...
Anazingua si mchezo
Sarcasmyaani Mungu ndo anazingua?
Kweli anazingua, kwanini asingemshusha kila mmoja na staili yake ya nywele anayoipenda? Mfano kiduku au kipara au Mawigi
Au kila mtu na urefu wake wa kucha anaoutaka?
Na mavudhi...
Anazingua si mchezo
Jibu lako limekaa vizuri sana.Ndio maana unasikia mungu fundi aliwaumba wanawakr na bikra zao,visimi nasisi wanaume akatuacha na govi.
Wenyewe ndio tuamue nini tufanye
Subhanallah!!!Kweli anazingua, kwanini asingemshusha kila mmoja na staili yake ya nywele anayoipenda? Mfano kiduku au kipara au Mawigi
Au kila mtu na urefu wake wa kucha anaoutaka?
Na mavudhi...
Anazingua si mchezo
Mh hatare kwelikweliMimi bado ninalo mpaka leo na sina mpango wa kulikata nadhani alituachia ili sisi wenye maamuzi ya kubaki nayo tuwe na amani