Hivi kwanini mnatengeneza barabara za Dar tu?

Kwanini tunakazania kujenga barabara mijini tu badala ya kutengeneza za mikoani?

70% ya watanzania wanaishi vijijini na tunategemea kilimo kama uti wa Mgongo. Kwahiyo wanaohitaji improvement ya infrastructure ni watu wa mikoani.

Kama tuko serious kutaka uchumi wetu ukue, tuanzie mbali kwenye kilimo mashambani huko.
Barabara za dar zinatengenezwa zaidi ya nyingine nchini kwa sababu zifuatazo:-
1 Zaidi ya asilimia 70 za magari nchini zipo dar
2. Kutokana na idadi hiyo, mchango wa dar kwenye tozo ni zaidi ya asilimia 80.
Hivyo basi zinapotengenezwa barabara hizo zinawezesha magari mengi kutumia hizo barabara na vile vile tozo zinazotozwa magari hayo kwa sehemu kubwa zinasaidia ujenzi wa barabara nyingine nchini.
 
mkuu jenga hoja kwenye mada,usiniseme mimi...
Nimesema hivyo kwasababu hii nchi nimeizunguka, kwa ukanda wetu huu wa Africa Masharik sidhan kama kuna nchi imetandaza lami nchi nzima kama sisi, eneo ambalo halikua na lami n kutoka tabora kwenda mpanda (mara ya mwsho napita mwez wa tisa walikua wameanza kuweka lami).. eneo jingine n Sumbawanga kwenda mpanda (walikua kwenye hatua za mwsho kumalizia... maeneo mengine yote lami ipo na maeneo mengine inabalishwa... Mfano.. Iringa na mbeya (hapo katikat... yaan makambako na njombe)

Na kwasasa hv, wanachofanya n kutanua barabara, kutoka magari mawil hadi matatu... wameanza na Morogoro road... Kutoka moro mpk dsm

Wewe kutokujua kinacho endelea haimaanishi kwamba hakuna kinacho fanyika... rais akiwa shinyanga majuzi kazindua barabara, na kuna barabara mbil za zaid ya km 60 kila moja zinaanza kujengwa ukanda huo huo

Nilikujb vile manake nimekuona uu mweupe... hujui nn kinaendela kwenye hili taifa zaid ya kile unacho kiona kwenye magazet au kwa Tv
 
Barabara za dar zinatengenezwa zaidi ya nyingine nchini kwa sababu zifuatazo:-
1 Zaidi ya asilimia 70 za magari nchini zipo dar
2. Kutokana na idadi hiyo, mchango wa dar kwenye tozo ni zaidi ya asilimia 80.
Hivyo basi zinapotengenezwa barabara hizo zinawezesha magari mengi kutumia hizo barabara na vile vile tozo zinazotozwa magari hayo kwa sehemu kubwa zinasaidia ujenzi wa barabara nyingine nchini.

Thanks mkuu,ila uchumi ukikua vijijini pia wataanza kutumia magari na wamiliki wa magari kuongezeka........ni kuelekeza tu nguvu huko..............
 
Nimesema hivyo kwasababu hii nchi nimeizunguka, kwa ukanda wetu huu wa Africa Masharik sidhan kama kuna nchi imetandaza lami nchi nzima kama sisi, eneo ambalo halikua na lami n kutoka tabora kwenda mpanda (mara ya mwsho napita mwez wa tisa walikua wameanza kuweka lami).. eneo jingine n Sumbawanga kwenda mpanda (walikua kwenye hatua za mwsho kumalizia... maeneo mengine yote lami ipo na maeneo mengine inabalishwa... Mfano.. Iringa na mbeya (hapo katikat... yaan makambako na njombe)

Na kwasasa hv, wanachofanya n kutanua barabara, kutoka magari mawil hadi matatu... wameanza na Morogoro road... Kutoka moro mpk dsm

Wewe kutokujua kinacho endelea haimaanishi kwamba hakuna kinacho fanyika... rais akiwa shinyanga majuzi kazindua barabara, na kuna barabara mbil za zaid ya km 60 kila moja zinaanza kujengwa ukanda huo huo

Nilikujb vile manake nimekuona uu mweupe... hujui nn kinaendela kwenye hili taifa zaid ya kile unacho kiona kwenye magazet au kwa Tv

hata wewe unaongea kutokana na experiences zako am sure kuna sehemu kibao tu ambazo hamna barabara za kueleweka ambazo hujatembelea,kutoa mifano yako michache inaonyesha jinsi information yako ilivyo limited to your own experiences..........ningekuwa na access na idadi ya barabara Tanzania ningekuwekea

mweupe ,black blue unaonyesha udhaifu wako,pole wee usitembelee wala kujibu nyuzi zangu,sipendagi matusi ya reja reja
 
kwa vile uchumi unategemea kilimo heavily then priority ni kilimo,
kilimo wapi??vijijini
why?
sababu kuna watu wengi Zaidi huko,
sisemi Dar isiendelezwe,ili nafasi pia wapewe mikoani iwe rahisi kuzalisha ......
na kila kitu kikiwa improved,mikoani itakuwa sawa na Dar tu katika kuzalisha.........
tunataka maendeleo kote sio dar peke yake.....
Dada yangu,
Achana na misemo ya wanasiasa ya kupeana moyo, uchumi gani unaotegemea kilimo??
Nini maana uchumi wa Tanzania?? Na Kilimo kinahusikaje kwenye Uchumi huo wa Tanzania??
I can tell you the only relation existing between our Agricultural Sector v/s Main Economy is that those participants in economy need foods in order to survive, only that. Otherwise Uchumi wetu unategemea mambo mengine kabisa tofauti.

Labda nikuulize, tuweke rough estimate kua mapato ya kila mwezi ni Tshs 1 Trillion, unadhani katika hizi ni % ngapi inatokea kwenye sekta ya kilimo??
 
hata wewe unaongea kutokana na experiences zako am sure kuna sehemu kibao tu ambazo hamna barabara za kueleweka ambazo hujatembelea,kutoa mifano yako michache inaonyesha jinsi information yako ilivyo limited to your own experiences..........ningekuwa na access na idadi ya barabara Tanzania ningekuwekea

mweupe ,black blue unaonyesha udhaifu wako,pole wee usitembelee wala kujibu nyuzi zangu,sipendagi matusi ya reja reja
Mkuu, nimekutolea mifano michache, haina maana kwamba ndio hiyo inayo endelea, na hakuna namna yatabebwa yote kwa wakati mmoja, kuna sababu nying sana zinazo chochea ujenz au upanuz wa barabara... sio zinajengwa tu ilimrad zinajengwa

ngoja nikuongezee na hii inayo endelea

Uyovu - Bwanga
Bwanga - Biharamulo
Dodoma - Mayamaya
Magole - Turiani

Na sio kwamba nimesema kutokana "Experience" barabara hazijengwi chumban hz useme kwamba hazionekan, tunatembea tunaziona

Umewah fika Tunduma? barabara inayo unganisha Tunduma na sumbawanga umewah iona?

Na uyole? barabara ijayoelekea Malawi??? ... tembea uone

Kuna lami zipo hayo maeneo huwez amin kama n Tanzania hii hii, lami za mataifa ya dunia ya kwanza sio ya tatu

Cha muhimu n kuendelea ishinikiza serikal imalizie pale palipo baki, na irekebishe pale palipo haribika, kuhusu infrastructure Tanzania iko mbali mno, mkulima atakumbwa na tatizo jingine kama hali ya hewa lakn sio usafiri hasa barabara kuu hiz... labda barabara za vijiji kwa vijiji... au wilaya za vijiji..
 
Dada yangu,
Achana na misemo ya wanasiasa ya kupeana moyo, uchumi gani unaotegemea kilimo??
Nini maana uchumi wa Tanzania?? Na Kilimo kinahusikaje kwenye Uchumi huo wa Tanzania??
I can tell you the only relation existing between our Agricultural Sector v/s Main Economy is that those participants in economy need foods in order to survive, only that. Otherwise Uchumi wetu unategemea mambo mengine kabisa tofauti.

Labda nikuulize, tuweke rough estimate kua mapato ya kila mwezi ni Tshs 1 Trillion, unadhani katika hizi ni % ngapi inatokea kwenye sekta ya kilimo??

Mkuu nilikua nacheki hii website www.kilimo.co.tz unaweza kupata majibu huko,nimeshindwa kufungua.........
 
Kwanini tunakazania kujenga barabara mijini tu badala ya kutengeneza za mikoani?

70% ya watanzania wanaishi vijijini na tunategemea kilimo kama uti wa Mgongo. Kwahiyo wanaohitaji improvement ya infrastructure ni watu wa mikoani.

Kama tuko serious kutaka uchumi wetu ukue, tuanzie mbali kwenye kilimo mashambani huko.
Wapitishe punda?!
 
Kama sikosei kuna barabara zilizochini ya halmashauri na zile ambazo ziko chini ya Tanroads. Sasa sijui wewe unaongelea zipi?
 
Mkuu, nimekutolea mifano michache, haina maana kwamba ndio hiyo inayo endelea, na hakuna namna yatabebwa yote kwa wakati mmoja, kuna sababu nying sana zinazo chochea ujenz au upanuz wa barabara... sio zinajengwa tu ilimrad zinajengwa

ngoja nikuongezee na hii inayo endelea

Uyovu - Bwanga
Bwanga - Biharamulo
Dodoma - Mayamaya
Magole - Turiani

Na sio kwamba nimesema kutokana "Experience" barabara hazijengwi chumban hz useme kwamba hazionekan, tunatembea tunaziona

Umewah fika Tunduma? barabara inayo unganisha Tunduma na sumbawanga umewah iona?

Na uyole? barabara ijayoelekea Malawi??? ... tembea uone

Kuna lami zipo hayo maeneo huwez amin kama n Tanzania hii hii, lami za mataifa ya dunia ya kwanza sio ya tatu

Cha muhimu n kuendelea ishinikiza serikal imalizie pale palipo baki, na irekebishe pale palipo haribika, kuhusu infrastructure Tanzania iko mbali mno, mkulima atakumbwa na tatizo jingine kama hali ya hewa lakn sio usafiri hasa barabara kuu hiz... labda barabara za vijiji kwa vijiji... au wilaya za vijiji..
Unaelezea hoja na kumshambulia mtu. Ingetosha sana kama ungejikita kwenye hoja. Kuna hoja hufika jukwaani jibu lake huwa ni ku-google, lakini watu hushauriana.
Anyway, Kakonko, Kibondo, Kasulu mpaka Kigoma. Hivyo hivyo kurudi nyuma kuanzia Kakonko. Ni vumbi kwenda mbele. Kuna wilaya hazina hata km 0 (kama ipo) ya lami.
Mleta hoja ana hoja lakini jibu la msingi, ni kwamba serikali inajikita kuimarisha Dar kwa sababu takribani asilimia 80 ya mapato yanatoka Dar es Salaam. Jibu hilo halina uhusiano na kutembea.
 
Barabara zinajengwa zaidi Dar sababu ndipo zinapohitajika zaidi, huwezi jenga barabara sehemu zinapopita gari tano kwa siku ukaacha zinapopita gari mia tano kwa siku.
Vijijini wana mahitaji yao lakini barabara sio muhimu ukilinganisha na Dar.
 
December na January hii.. kuna tenda karibu 6 or 7 za barabara zimetolewa, baadhi deadline n mwenz huu nyingne mwez ujao, nying ziko Tabora na shinyanga... moja wapo ya barabara hizo n kuna moja Bariad huko urefu Km 170...

Jitahd uachane na white jobs.. tembea tembea huko dunian, utajua mengi mno bila hata kuambiwa au kusoma mahali
 
Wabunge wenyewe wa majimbo mbalimbali nje ya dar nadhani asilimia kubwa makazi yao yapo Dar, what do you expect from them ?
 
Sasa wewe mwenye umesema kama sikosei. Utajibiwa nini??

Jibu ni aidha umepatia au umekosea; na kama umepatia basi naongelea aidha zote au zile za Tanroads. Na hii ni namna ya kuongea kabla ya kuhakikisha na inaitwa reservation. Baadae nitaenda www.mow.go.tz kupata uhakika zaidi.
 
Nimesema hivyo kwasababu hii nchi nimeizunguka, kwa ukanda wetu huu wa Africa Masharik sidhan kama kuna nchi imetandaza lami nchi nzima kama sisi, eneo ambalo halikua na lami n kutoka tabora kwenda mpanda (mara ya mwsho napita mwez wa tisa walikua wameanza kuweka lami).. eneo jingine n Sumbawanga kwenda mpanda (walikua kwenye hatua za mwsho kumalizia... maeneo mengine yote lami ipo na maeneo mengine inabalishwa... Mfano.. Iringa na mbeya (hapo katikat... yaan makambako na njombe)

Na kwasasa hv, wanachofanya n kutanua barabara, kutoka magari mawil hadi matatu... wameanza na Morogoro road... Kutoka moro mpk dsm

Wewe kutokujua kinacho endelea haimaanishi kwamba hakuna kinacho fanyika... rais akiwa shinyanga majuzi kazindua barabara, na kuna barabara mbil za zaid ya km 60 kila moja zinaanza kujengwa ukanda huo huo

Nilikujb vile manake nimekuona uu mweupe... hujui nn kinaendela kwenye hili taifa zaid ya kile unacho kiona kwenye magazet au kwa Tv
Takwimu unazo au na wewe unasema tu Africa Mashariki na kati mkoa kama Mbeya una km ngapi za lami au unaongelea hizo barabara zilizopita kwenda nchi Jirani? Vipi kuhusu mikoa mingine
 
Mkuu nilikua nacheki hii website www.kilimo.co.tz unaweza kupata majibu huko,nimeshindwa kufungua.........
Hata mi nimecheki haifunguki pia,
But hujanijibu maswali yangu bado.

Nimekuuliza uchumi gani unaotegemea kilimo??
Nini maana uchumi wa Tanzania?? Na Kilimo kinahusikaje kwenye Uchumi huo wa Tanzania??
Tuweke rough estimate kua mapato ya kila mwezi ni Tshs 1 Trillion, unadhani katika hizi ni % ngapi inatokea kwenye sekta ya kilimo??
 
Back
Top Bottom