Hivi kwanini Makonda anachukiwa hivi wakati anafanya kazi vizuri tu?

kama zipi ndugu yangu unazosemea wewe kazi, sie tupo dar hapa hapa, kama zipi hebu orodhesha
 
Hivi kumbe kuvamia ofisi za watu sio jambo la msingi binadamu kufatilia?
 
Tokea ateuliwe kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam niseme tu ukweli sijawahi kubahatika kumwona Mkuu wa Mkoa ambaye anafanya Kazi zake vizuri kabisa na kiueledi kabisa kama Mkuu wa Mkoa kipenzi cha Watanzania, Mungu na hadi Malaika wake kama Ndugu Paul Christian Makonda.

Ni Kijana mwenye maono, mcha Mungu mzuri halafu ni hazina kubwa sana kwa nchi kwa baadae na ninavyoona kama Makonda ataendelea hivi hivi basi sina shaka kuwa muda wowote atachaguliwa kuwa Mbunge na hatimaye Waziri.

Kwa jinsi ninavyomuona tu Kijana Makonda naona kabisa uwezo wake mkubwa hata wa siku moja yeye kuja kuwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nimegundua pia kuwa Watu wote wanaomchukia Makonda iwe humu jf au huko mitaani ni kwamba wana Wivu nae tu kwakuwa anatenda Kazi zake vizuri sana.

Kwako Mheshimiwa Makonda usiogope wala kutishwa na Mtu yoyote yule hapa Tanzania, fanya Kazi yako na ningekushauri kwakuwa juzi uliwaingilia Clouds Media Group basi usichoke pia kuzipitia na Media zingine ambazo na zenyewe zimejaa Unafiki mtupu bila kusahau huku mitaani na maofisini mwetu.

Nipo nyuma yako Mkuu wa Mkoa wangu mpendwa Paul Christian Makonda na amini kuwa Tomito Tomato nipo pamoja nawe na nitakuwa nawe hadi pale mwisho wa pumzi yetu hapa Tanzania. Nakupenda sana Makonda na kweli Wewe umeletwa na Mwenyezi Mungu kuja kutuongoza sisi wenye jicho la husuda na Uongozi wako.

Na nitoe ombi Kwako Mheshimiwa Rais Magufuli tafadhali kama ulikuwa una mpango wowote ule sijui wa kuwasikiliza hao Wanafiki wengine ambao kila uchao wanakaa tu kumjadili Makonda tena mitandaoni kuwa hafai na umtumbue nakuomba Mheshimiwa Rais wangu Mkuu wako wa Mkoa Paul Christian Makonda ni Kiongozi mzuri mno na usimfukuze Kazi au hata kuwazia Kumtumbua.
Kuna mawili either una tatizo la ukhanithi na huyo ndugu anakusaidia kukutibia mkeo au unafanya vitu kinyume na uumbaji na ndugu Bashite anakusaidia kukukuna. Sasa "kazi" za hivyo hata azifanye vizuri namna gani wengine hatuwezi kuona.
 
Wewe mwenyewe umeshatuwekea cheti chako humu? Nani aliyekuambia kuwa matokeo ya darasani ndiyo umahiri wa kuongoza Watu? Je huko nyuma Wazee wetu waliotuongoza walikuwa na elimu kubwa kama hizo zenu? Acheni wivu kwa Makonda na hata msemeje hawezi kutumbuliwa hivyo fanyeni Kazi mjikomboe Kiuchumi muondokane na umasikini unaowakabili. Hoja ya cheti kwangu Mimi naona ni ya kitoto mno na nawashangaeni kila mara Watu mnapoteza tu muda kumjadili. Hivi hamchoki tu?
Rais alianzisha msako wa vyeti kwa watumishi wote wa umma, na watu wakaacha sasa kama anamlea mtu aliyefoji vyeti huoni ni upendeleo wa wazi
 
Kweli kabisa Mkuu. Watuachie Makonda wetu tafadhali kwani tunamuhitaji na tunampenda sana tu.
kwa hiyo vyeti feki
kuingia kwa mtutu kituo cha redio na tv na kulazimisha warushe clip aliyotengeneza, basi tunawaomba kitu ki1 tu, mliowafukuza, na kuwafunga kuhusu kughushi vyeti muwarejeshe kazini tujenge taifa mbaki na bashite wenu, ukiona mtu anamshabikia bashite ujue nae alipata bashite shuleni sio bure, unataka kusema wanaolalamika wote katika mitandao ni wauza ngada, watz 150 ni wauza ngada,
 
Hivi kumbe kuvamia ofisi za watu sio jambo la msingi binadamu kufatilia?

Sasa kama Ofisi inaleta mambo ya Kipuuzi isivamiwe? Halafu kwanini mnajitoa ufahamu mnashindwa kujua kuwa Kikatiba Mkuu wa Mkoa ni Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama wa Mkoa hivyo hata akiamua kwenda Studioni na Jeshi zima au Police wote anaruhusiwa? Na media zingine mnaojijua mkae sawa kwani hata nyie siku si nyingi nanyi mtaingiliwa vile vile ili mkome kuendekeza unafiki wenu na kutumika kwenu.

Makonda piga Kazi Kaka na Mtu yoyote yule asikutishe tupo Watu ambao tutakutetea, kukupigania na kukuonyesha njia sahihi. Achana na majungu ya Waswahili!
 
Kuna mawili either una tatizo la ukhanithi na huyo ndugu anakusaidia kukutibia mkeo au unafanya vitu kinyume na uumbaji na ndugu Bashite anakusaidia kukukuna. Sasa "kazi" za hivyo hata azifanye vizuri namna gani wengine hatuwezi kuona.

Nijuacho tu ni kwamba RC Makonda is there to stay na mnaompiga majungu mitandaoni pambaneni kwanza kumaliza ufukura wenu unaowakabili ili baadae msije kumsingizia Makonda kuwa yeye ndiyo kasababisha.
 
Tokea ateuliwe kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam niseme tu ukweli sijawahi kubahatika kumwona Mkuu wa Mkoa ambaye anafanya Kazi zake vizuri kabisa na kiueledi kabisa kama Mkuu wa Mkoa kipenzi cha Watanzania, Mungu na hadi Malaika wake kama Ndugu Paul Christian Makonda.

Ni Kijana mwenye maono, mcha Mungu mzuri halafu ni hazina kubwa sana kwa nchi kwa baadae na ninavyoona kama Makonda ataendelea hivi hivi basi sina shaka kuwa muda wowote atachaguliwa kuwa Mbunge na hatimaye Waziri.

Kwa jinsi ninavyomuona tu Kijana Makonda naona kabisa uwezo wake mkubwa hata wa siku moja yeye kuja kuwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nimegundua pia kuwa Watu wote wanaomchukia Makonda iwe humu jf au huko mitaani ni kwamba wana Wivu nae tu kwakuwa anatenda Kazi zake vizuri sana.

Kwako Mheshimiwa Makonda usiogope wala kutishwa na Mtu yoyote yule hapa Tanzania, fanya Kazi yako na ningekushauri kwakuwa juzi uliwaingilia Clouds Media Group basi usichoke pia kuzipitia na Media zingine ambazo na zenyewe zimejaa Unafiki mtupu bila kusahau huku mitaani na maofisini mwetu.

Nipo nyuma yako Mkuu wa Mkoa wangu mpendwa Paul Christian Makonda na amini kuwa Tomito Tomato nipo pamoja nawe na nitakuwa nawe hadi pale mwisho wa pumzi yetu hapa Tanzania. Nakupenda sana Makonda na kweli Wewe umeletwa na Mwenyezi Mungu kuja kutuongoza sisi wenye jicho la husuda na Uongozi wako.

Na nitoe ombi Kwako Mheshimiwa Rais Magufuli tafadhali kama ulikuwa una mpango wowote ule sijui wa kuwasikiliza hao Wanafiki wengine ambao kila uchao wanakaa tu kumjadili Makonda tena mitandaoni kuwa hafai na umtumbue nakuomba Mheshimiwa Rais wangu Mkuu wako wa Mkoa Paul Christian Makonda ni Kiongozi mzuri mno na usimfukuze Kazi au hata kuwazia Kumtumbua.

Sawa kabisa na kama kuna mfanyabiashara anagoma kutoa gari lake, aache ujinga. Huyu kijana nahitaji magari ya kifahari ili atende kazi yake vizuri. Nimekuelewa, sijui kwanini watu wanamchukia?
 
kwa hiyo vyeti feki
kuingia kwa mtutu kituo cha redio na tv na kulazimisha warushe clip aliyotengeneza, basi tunawaomba kitu ki1 tu, mliowafukuza, na kuwafunga kuhusu kughushi vyeti muwarejeshe kazini tujenge taifa mbaki na bashite wenu, ukiona mtu anamshabikia bashite ujue nae alipata bashite shuleni sio bure, unataka kusema wanaolalamika wote katika mitandao ni wauza ngada, watz 150 ni wauza ngada,

Mimi hayo yako yote siyajui Mkuu ila ninachokijua tu ni kwamba RC Makonda is there to stay basi.
 
hapana basi unapanswa uyajue ndugu, mie ukiniambia tu kazi ambazo ndani ya mwaka alizofanya na tukaona maendeleo hapo utaweza nishawishi kwa huyu mtu, hivi hivi sijauona utendaji wake zaidi ya kutukana watu na kujitafutia sifa, sasa kama huyajui bora ukae kimya, madawa hii ipo ni muendelezo tu alioukuta lakini pa1 na hayo hayo hao hao anaowataja mbona anapokea mali zao?
 
Kazi yakwenda kuvamia radio za watu?
jamaa aliyetoa huu uzi nae naona ndio wale wale wanaofaidika na bashite, ati udaku, kitu unaonyeshwa live videos unasema udaku, sasa mbona yeye watu wanamdhihaki kwenye mitandao na wanatafutwa wanafungwa au kulipa m7
 
Tokea ateuliwe kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam niseme tu ukweli sijawahi kubahatika kumwona Mkuu wa Mkoa ambaye anafanya Kazi zake vizuri kabisa na kiueledi kabisa kama Mkuu wa Mkoa kipenzi cha Watanzania, Mungu na hadi Malaika wake kama Ndugu Paul Christian Makonda.

Ni Kijana mwenye maono, mcha Mungu mzuri halafu ni hazina kubwa sana kwa nchi kwa baadae na ninavyoona kama Makonda ataendelea hivi hivi basi sina shaka kuwa muda wowote atachaguliwa kuwa Mbunge na hatimaye Waziri.

Kwa jinsi ninavyomuona tu Kijana Makonda naona kabisa uwezo wake mkubwa hata wa siku moja yeye kuja kuwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nimegundua pia kuwa Watu wote wanaomchukia Makonda iwe humu jf au huko mitaani ni kwamba wana Wivu nae tu kwakuwa anatenda Kazi zake vizuri sana.

Kwako Mheshimiwa Makonda usiogope wala kutishwa na Mtu yoyote yule hapa Tanzania, fanya Kazi yako na ningekushauri kwakuwa juzi uliwaingilia Clouds Media Group basi usichoke pia kuzipitia na Media zingine ambazo na zenyewe zimejaa Unafiki mtupu bila kusahau huku mitaani na maofisini mwetu.

Nipo nyuma yako Mkuu wa Mkoa wangu mpendwa Paul Christian Makonda na amini kuwa Tomito Tomato nipo pamoja nawe na nitakuwa nawe hadi pale mwisho wa pumzi yetu hapa Tanzania. Nakupenda sana Makonda na kweli Wewe umeletwa na Mwenyezi Mungu kuja kutuongoza sisi wenye jicho la husuda na Uongozi wako.

Na nitoe ombi Kwako Mheshimiwa Rais Magufuli tafadhali kama ulikuwa una mpango wowote ule sijui wa kuwasikiliza hao Wanafiki wengine ambao kila uchao wanakaa tu kumjadili Makonda tena mitandaoni kuwa hafai na umtumbue nakuomba Mheshimiwa Rais wangu Mkuu wako wa Mkoa Paul Christian Makonda ni Kiongozi mzuri mno na usimfukuze Kazi au hata kuwazia Kumtumbua.

lipi zuri alofanya ? kuchukua gari za wauza unga ? hana alofanya.
 
Back
Top Bottom