Hivi kwanini kasi ya mabinti wa kichaga kuolewa na wanaume wa kikurya inakua kwa kasi sana?

Ahahahaa, mawazo mengine bana
Wakurya ndo wale wanaombaga papuchi kwa kusema "mama bhoke nataka nikurenge" itakuwa mabinti wakichaga wamevutiwa na hiyo tabia maana wao mambo mengi romance masaa matatu hawajazoea hawa dada zangu maana everytime wao wanataka ku maximize income kutokana na muda. So hawapendi kupoteza muda :):)
 
Mapenzi ni mtu mwenyewe sio kabila.
wanjira ....... ila ni nin kama sio kabila ....kuna wengine wamerith tabia za kikaabila sasa utaishije na mkurya yeye anapenda vurugu kila day ......wanawake wakikulya wababe wakichaga wababe
 
Another Saga of Chaga girls..

Mie kwa utafiti wangu nimeona

Mabinti wa kichaga ndio wanaoongoza kwa kuolewa ,katika ndoa 10 zinazofungwa 5 ni za mabinti wa kichaga na wanaume wa makabila mbalimbali

Mabinti Wa Kihaa(wahaa) ndio wanaofatia kwa kuolewa pia na wanaume wa kabila mbalimbali,katika ndoa 10 mabinti wa kihaa ni 2 au 3 ya ndoa zote

Bado nafanya utafiti kujua ni kwanini kabila hizi mabinti wao wanaongoza kwa kuolewa

Nb:utafiti wangu sio rasmi ni kwasababu tu nashungulika na industry ya mambo ya wedding so it is just my personal experience
Hata mimi kwa uzoefu wangu kabila hizi 3; wachaga, wasukuma na wahaya wanaolewa sana. Na hata nimepata kuona mijadala mingi ya wanaume wakizisifia kabila hizi kama wanawake wa kuoa. But all in all, they both deserve it sababu ndi makabila makubwa (yenye watu wengi) Tanzania.
 
Jamani Mimi ni mkurya lakini nimeoa mrombo coz huwa anajisifu ninayajua mambo japo cjui aliyekuwa nae Mara ya kwanza ni kabila gani ? Nae ndo alikua jogoo apeperushi mabawa awike au kueika Mara moja mpk wiki ikpite.
 
Back
Top Bottom