nimecheka sana Jamii forumn kweli rahaa ata ukiwa na stress.Nyinyi ndio mnasababisha Wanaume wa Dar tudharaulike Mkuu
hakika mkuu. saiv ilitakiwa awe analokota mupira kunyavu...Nyinyi ndio mnasababisha Wanaume wa Dar tudharaulike Mkuu
nadhani utakuwa ni mwanamme wa dar bila kukosea
Ona sasa fedheha hizi kyagata , nzoka ya pinadhani utakuwa ni mwanamme wa dar bila kukosea
SijuiHello guys!
Siku chache zilizopita tulisafiri kikazi pamoja na wafanyakazi wenzangu kwenda mkoani Dodoma kuhudhuria training flani. Sasa kuna binti ambae mimi sikua na mazoea nae wala, siku ya siku tukiwa training akaniomba number yangu kwa kigezo kwamba iwe rahisi kutafutana endapo kutakua kuna lolote la kuambiana kuhusiana na kazi, sikuona tabu sana kumpa.
Tukiwa dodoma tukawa tunapigiana just tunaongea maswala ya kazi tu. Sasa training imeisha na kila mmoja amerudi kwenye kituo chake cha kazi, tumekaa siku kama nne bila kutafutana, kuna siku akaanzisha conversation na mimi akaomba nimtumie watsap my favorate song, nikamtumia, siku ya jana akaniomba nimtumie picture yangu nikamtumia. Sasa chale zimeanza kunicheza hapa wakuu.
Hivi inawezekana akawa anataka nini kwangu huyu?