Gunner Shooter
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,322
- 8,685
Habari za mda huu wakuu?
Mimi Nina mzee wangu kipindi naishi home mzee alikua anapata pesa kutokana na shughuli zake ila mzee Kila tukimshauri amalizie nyumba yake aliyoanza kuijenga anatuona kama hatuna akili anachezea pesa. Yaani hata nguo mzee hajawai kutununulia tangia tunajitambua.
Kwamba na sisi ni binadamu mda mwingine unasikia anaongea na simu na mwanamke kumuahidi pesa pindi mshahara wake ukitoka na alishazaa mtoto wa nje tofauti na mama yetu aliepo nae kwenye ndoa yaani kufupisha habari mzee wangu alikua ni wale wazazi wanaozarau mawazo ya mtoto kisa kamzaa hajui kama mtoto nae anakua upeo wa akili.
Na hasa Mimi alikua ananidharau sana na kunibagua na hafanyi maendeleo nyumba kajenga ila haijaisha yaani ni aina ya nyumba ambayo haijaisha. Sasa hivi kastaafu na pesa ya NSSF kashaila sababu ni haki yake kuila sababu alikua akifanya kazi yeye mimi sasa hivi nipo kwenye nyumba yangu niliyojenga kwa jasho na damu.
Sasa naona mzee ananiomba msaada wakati kipindi tunamshauri alikua anatuona kama hatuna akili na kingine mzee alikua ni mtu wa kupenda siasa yaani humuambii kitu kuhusu ccm Kila kikao lazima ahudhurie na hamna hata pesa wanayopewa zaidi ya ushabiki ambao nilishindwaga kumuelewa mpaka Leo anaharakati za siasa na ukimuambia aachane nazo mtagombana ila Cha ajabu msaada anakuja kuniomba Mimi haendi kukiomba chama chake Cha ccm.