Hivi kuna urafiki wa kweli kwa office mates?

mleta mada umesikika.....ila tayari ushakuwa mmbea kwa kutuletea lifestyle yako humu bila kuulizwa
 
Binadamu hatuna jema! Mbaya wako ndiyo adui yako by Les Wanyika, pia Tenda wema uende zako by Msondo Ngoma Music Band!
 
Huyu ndio yule jamaa mda wa kulipa bill anaenda chooni, akirudi anajazia 5000 au 3000 afu anasepa wakati kanywa bia za 30,000/=
 
kichwa cha habari chahusika,katika maisha yangu ya kazi nimejifunza kitu kimoja muhimu sana,kwamba katika ofisi moja hakuna urafiki wa kweli kabisa. Nimejaribu kuwasikia mara kadhaa watu wakienda nyumbani kwa office mates mwenzao basi utawasikia wanamsema vibaya mara oooh ujanja wote lakini anakaa pale,mara oooooh yule hela ametolea wapi maana lile jumba sio kwa hela hizi.

Sasa mimi staili yangu ya kuishi ni tofauti kabisa na mates wenzangu, kwanza hutanisikia nikiropoka ofisini kwamba oooh nina hichi, nina hichi, niko silence sana,na wenzangu wanahisi mimi ni mtu wa kujirusha kweli kumbe mwenzao kila cent ninayopata nipo ninaitumia kwa makini kweli,wengi nimewakuta hapa ofisini mpaka muda huu wanaendekeza starehe hawana mbele wala nyuma, mpaka sasa nina assets kuwazidi hata wao walionza kazi miaka kumi iliyopita,hakuna hata mtu mmoja wa ofisini anayepajua nyumbani kwangu kwakuwa naamini hata wakipajua nikipatwa na shida wa kunisaidia ni ndugu na marafiki zangu ambao sijanyi nao kazi,siku zote najua ukimkaribisha office mate nyumbani lazma ipo siku atakugeuka tu atakusengenya kwa mtu.

Na hata nikisafiri kikazi mikoani wakishapanga ooooh leo twende club gani sijui gani tutakubaliana pale ila muda ukifika lazma nitapiga chenga tu hawataniona,siku nikiwa fresh mfukoni mimi namchukua mke wangu na watoto wangu wawili tunaenda zetu kula misele,ile city centre tunazunakula bata hata mpaka saa saba then tunarudi home.Nikiwa nyumbani nafanya shughuli zangu kama natokea veitnam vile sina muda wa kupoteza wala kukaa baa kupiga blah blah kwakua najua hiyo ndio nguzo ya maisha yangu mazuri,vitu wanavyoongea office mate wenzangu nyumbani kwamba wanavyo unakuta mimi tayari siku nyingi ninavyo.

SIO KWAMBA MIMI NI MLUGA LUGA ILA HIYO NDIYO STAILI YANGU YA KUISHI, mtaani pale najichanganya ile mbaya pamoja na kazi yangu nzuri ila mtaani wananiona ni mskaji tu kwakuwa naamini majirani ni nguzo muhimu sana kwenye kufikia malengo yangu.

NAWASILISHA.
 
Mimi naona ubinafsi unakusumbua, nyie ndio mlikuwa selfish hata shuleni unagopa kumfundisha mwenzako kuhofia atakuzidi darasani, sasa hiyo mentality bado unayo mpaka kwenye maisha.
shule inaingiaje hapa mkuu,ni mtizamo wangu tu na maisha ninayoishi,lakini ni somo pia kwa wale wenye tabia za kuongea ongea mambo yao ya private ofisini
 
Your very right ,ila ukifanikiwa sana hata nao majungu huyakaanga kama kawaida though hayatakua na madhara kwako.
Binafsi naunga mkono hoja yako saana tu na ujue urafiki wa workmate ni wa mashaka ukibadilisha shirika la kazi wale mabest ni wachache unaweza kuendelea kuwasiliana nao au mawasiliano yanaweza kwisha kabisa. Binafsi marafiki wa kusoma pamoja ndio nimeona ni trustworth.
 
Mi nimepoteza wote, hawa wa kazini ndio vimeo kabisa. wakikufahamu tu, wanakumaliza kimtindo. Dawa yake kila mtu afanye lililomleta, no even kukaribishana home.
 
Your very right ,ila ukifanikiwa sana hata nao majungu huyakaanga kama kawaida though hayatakua na madhara kwako.
Nani kakkwambia hayatkuwa na madhara kwako? Boss wake anaweza kuwa na Jealous na wewe? Wale washikaji wa mitaa ya kule Upanga watapewa taarifa na kufunga tera kwako. Vinginevyo, safari ya kuhamishwa kitemgo/Idara/Mkoa inafuata. madhara yapo bro.
 
Basi there is no one to trust.
Nani kakkwambia hayatkuwa na madhara kwako? Boss wake anaweza kuwa na Jealous na wewe? Wale washikaji wa mitaa ya kule Upanga watapewa taarifa na kufunga tera kwako. Vinginevyo, safari ya kuhamishwa kitemgo/Idara/Mkoa inafuata. madhara yapo bro.
 
Siku zote ukishaona mates zako wanakaa in groups then wanakuhoji hoji na wanataka kukufahamu saaana mfano unapoishi, unachofanya n.k kaa nao mbali hao NI WANAFIKI.

Binadamu hawaaminiki sikuhizi usitake Mazoea sana zaidi ya salamu.

Wenzio tushagundua siku nyiiingi hayo.
 
Binafsi naunga mkono hoja yako saana tu na ujue urafiki wa workmate ni wa mashaka ukibadilisha shirika la kazi wale mabest ni wachache unaweza kuendelea kuwasiliana nao au mawasiliano yanaweza kwisha kabisa. Binafsi marafiki wa kusoma pamoja ndio nimeona ni trustworth.
Hata mliosoma pamoja kuna wale dizain wanataka kukujua deeply kuhusu kwenu na financial status yako/yenu ili wakusengenye

Hahaha....umbea ni umbea tu.
 
Mie sina rafiki jamani mpaka huwa najishangaa, sio ofisini sio mtaani ni ile tu ya habari gani au kuna matatizo tunasaidiana baada ya hapo full stop

Nilijaribu kuwa nao hapo nyuma lakini sasa ....ilikuwa mkitoka out utayakuta ofisi ya pembeni , ukifanya hivi lazima news ziko sehemu na hapo unajua hii habari nimeongea na mmoja tu au nilikuwa na fulani..

Baadae nikaona headache ya nini bora niwe karibu sana na family yangu na ndugu ,watoto na mme tu

Ila huwa najiuliza niko sawa kweli maana huu ni mwaka wa nane sasa kukaa bila rafiki:):):):)
Most people nowdays invests to business partners not to Friends.
Its hard to get a "Friend" leave alone "Best friend"

To me, kama marafiki zako ndio wako hivyo basi upo sawa kabisa.
 
kichwa cha habari chahusika,katika maisha yangu ya kazi nimejifunza kitu kimoja muhimu sana,kwamba katika ofisi moja hakuna urafiki wa kweli kabisa. Nimejaribu kuwasikia mara kadhaa watu wakienda nyumbani kwa office mates mwenzao basi utawasikia wanamsema vibaya mara oooh ujanja wote lakini anakaa pale,mara oooooh yule hela ametolea wapi maana lile jumba sio kwa hela hizi.

Sasa mimi staili yangu ya kuishi ni tofauti kabisa na mates wenzangu, kwanza hutanisikia nikiropoka ofisini kwamba oooh nina hichi, nina hichi, niko silence sana,na wenzangu wanahisi mimi ni mtu wa kujirusha kweli kumbe mwenzao kila cent ninayopata nipo ninaitumia kwa makini kweli,wengi nimewakuta hapa ofisini mpaka muda huu wanaendekeza starehe hawana mbele wala nyuma, mpaka sasa nina assets kuwazidi hata wao walionza kazi miaka kumi iliyopita,hakuna hata mtu mmoja wa ofisini anayepajua nyumbani kwangu kwakuwa naamini hata wakipajua nikipatwa na shida wa kunisaidia ni ndugu na marafiki zangu ambao sijanyi nao kazi,siku zote najua ukimkaribisha office mate nyumbani lazma ipo siku atakugeuka tu atakusengenya kwa mtu.

Na hata nikisafiri kikazi mikoani wakishapanga ooooh leo twende club gani sijui gani tutakubaliana pale ila muda ukifika lazma nitapiga chenga tu hawataniona,siku nikiwa fresh mfukoni mimi namchukua mke wangu na watoto wangu wawili tunaenda zetu kula misele,ile city centre tunazunakula bata hata mpaka saa saba then tunarudi home.Nikiwa nyumbani nafanya shughuli zangu kama natokea veitnam vile sina muda wa kupoteza wala kukaa baa kupiga blah blah kwakua najua hiyo ndio nguzo ya maisha yangu mazuri,vitu wanavyoongea office mate wenzangu nyumbani kwamba wanavyo unakuta mimi tayari siku nyingi ninavyo.

SIO KWAMBA MIMI NI MLUGA LUGA ILA HIYO NDIYO STAILI YANGU YA KUISHI, mtaani pale najichanganya ile mbaya pamoja na kazi yangu nzuri ila mtaani wananiona ni mskaji tu kwakuwa naamini majirani ni nguzo muhimu sana kwenye kufikia malengo yangu.

NAWASILISHA.
Wenzako wanajitangaza ofisini kwenu wewe unajitangaza mtandaoni.
 
Haka katabia siyo kazuri

Kumbe na wewe unawafatilia wenzako ... aiseee
Huyu jamaa alichokileta ndo kile anachosema wanacho wenzake yani katabia flani hivi....not gud at all....umeamua kufanya yako fanya itakuwa poa zaidi na sio kuwajadili hao unaosema hawafai.....u belong to the same track joh
 
kichwa cha habari chahusika,katika maisha yangu ya kazi nimejifunza kitu kimoja muhimu sana,kwamba katika ofisi moja hakuna urafiki wa kweli kabisa. Nimejaribu kuwasikia mara kadhaa watu wakienda nyumbani kwa office mates mwenzao basi utawasikia wanamsema vibaya mara oooh ujanja wote lakini anakaa pale,mara oooooh yule hela ametolea wapi maana lile jumba sio kwa hela hizi.

Sasa mimi staili yangu ya kuishi ni tofauti kabisa na mates wenzangu, kwanza hutanisikia nikiropoka ofisini kwamba oooh nina hichi, nina hichi, niko silence sana,na wenzangu wanahisi mimi ni mtu wa kujirusha kweli kumbe mwenzao kila cent ninayopata nipo ninaitumia kwa makini kweli,wengi nimewakuta hapa ofisini mpaka muda huu wanaendekeza starehe hawana mbele wala nyuma, mpaka sasa nina assets kuwazidi hata wao walionza kazi miaka kumi iliyopita,hakuna hata mtu mmoja wa ofisini anayepajua nyumbani kwangu kwakuwa naamini hata wakipajua nikipatwa na shida wa kunisaidia ni ndugu na marafiki zangu ambao sijanyi nao kazi,siku zote najua ukimkaribisha office mate nyumbani lazma ipo siku atakugeuka tu atakusengenya kwa mtu.

Na hata nikisafiri kikazi mikoani wakishapanga ooooh leo twende club gani sijui gani tutakubaliana pale ila muda ukifika lazma nitapiga chenga tu hawataniona,siku nikiwa fresh mfukoni mimi namchukua mke wangu na watoto wangu wawili tunaenda zetu kula misele,ile city centre tunazunakula bata hata mpaka saa saba then tunarudi home.Nikiwa nyumbani nafanya shughuli zangu kama natokea veitnam vile sina muda wa kupoteza wala kukaa baa kupiga blah blah kwakua najua hiyo ndio nguzo ya maisha yangu mazuri,vitu wanavyoongea office mate wenzangu nyumbani kwamba wanavyo unakuta mimi tayari siku nyingi ninavyo.

SIO KWAMBA MIMI NI MLUGA LUGA ILA HIYO NDIYO STAILI YANGU YA KUISHI, mtaani pale najichanganya ile mbaya pamoja na kazi yangu nzuri ila mtaani wananiona ni mskaji tu kwakuwa naamini majirani ni nguzo muhimu sana kwenye kufikia malengo yangu.

NAWASILISHA.
Unaonekana wewe ndo unaishi sad life kuliko hao wenzako...unajifanya wise kumbe kuliko wenzako kumbe ndo wale wale...
 
Mimi nimeona usiri mwingi hufanywa na watu ambao integrity yao ni ya kusuasua, utajificha mpaka lini?
 
Hata hiki ulichokifanya hapa ni kuropoka mafanikio yako.... Anyway hongera, na ntaenda kumwambia boss
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom