Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,715
- 29,653
Hili daraja watajengewa viongozi wanaokaa Oyesterbay, Masaki, Msasani etc.Wanasema ujenzi utagharimu Tsh110 bilion na Wakorea watatukopesha 80% ya pesa hizo. Je kuna ulazima wa kutumia pesa hizo kwaajili ya kitu kisicho na impact yoyote kiuchumi?
View attachment 317246