Hivi kumvalia nusu uchi kaka yako ni sawa?

Wanajamvi ni matuamini yangu sote tu wazima wa afya, kwa wale wenye shida na changamoto tofauti tuombe Mungu na tusikate tamaa.
Hivi limekaaje hili suala la mtoto wa kike kukaa nusu uchi mbele ya kaka yake au baba yake mzazi,
Leo nimepita katika familia moja kubwa na ya kitajiri kwelikweli hapa nchini nimeshuhudia hili na wao wako sawa kabisa wala hawahisi kukosea.

Niliitwa na rafiki yangu mtoto wa tajiri huyo, nilipofika katika nyumba hiyo nikashtuka kidogo kuona hali ilivokuwa pale, mtoto kavaaa kigauni kifupi kiasi kwamba hawez hata kuinama bila kuonyesha utamu wake hadharani na juu huko nguo ni very transparent Niliwakuta wakicheza Ps ila katika viti tofauti,
Je imekaaje hii ni uzungu au.
Ukiwaambia watu kama hawa jamanii hili sio jambo zuri nanila KUKEMEWA kabisa kwa kuwa sio Tamaduni wa mila zetu UTAJIBIWA aaaggghhhh bwana wewe huu ndo utandawazi wa science&Technology.? Sasa najiuliza kuwa tunaenda mbele ama tunaiga mila na desturi za wazungu.? Tunahitaji kulinda na kutunza Tamaduni zetu kwa ajili ya our FUTURE kids an the next generation
 
Huo ni utamaduni wa hiyo familia, waliouzoea. Ukiwashangaa na wao watakushangaa. Kuna baadhi ya familia huwezi kukuta mtoto wa kike amefunga kanga lubega asubuhi hadi jioni halafu anapita pita mbele ya wazazi wake, ila ukistaajabu hilo kwa huku uswahilini kwetu watakuona mshamba tu.
View attachment 465693

Hata tukurejea tulipotoka, zamani wazee wetu walikuwa wanakaa nusu uchi na familia zao lakini kwa sababu ilikuwa ni utamaduni wao, haikuleta shida wala haikuwa ni jambo la kushangaza.
View attachment 465694
Hv kati ya kizazi kilochopo na watu wa zamani ni wapi walikuwa wanakaa uchi!??je kama ni mavazi ndio yamepunguza kuhamasisha uzinzi ni kwa nini kizazi hiki chenye mavazi tele ndiyo kinaonekana kina uchu wa ngono/kutamaniana zaidi kuliko walioishi uchi miaka ya mababu wa mababu
 
Hao wazungu wenyewe ambao paja na mkono rangi sawasawa sasa hivi wanagegedana ndani ya family kwa kujidai wako huru kupita kiasi... Je sisi waafrika tulivyo na maumbile ya kutamanisha itakuwaje?
 
mambo ya kutoa siri za majumba ya watu kuleta mtandaoni si vizuri fanya yako
 
God forbid, watu mnawezaje fanya hivyo ilhali ni ndugu, tumbo moja?.,
 
Siku utakayo weza Ku mind your business na wewe utaanza kuwa tajiri.
 
Hata Dar unataka dada yangu avae dera akiwa home?Na joto hili?Kama alikuwa ndani kuna ubaya gani?
 
Wanajamvi ni matuamini yangu sote tu wazima wa afya, kwa wale wenye shida na changamoto tofauti tuombe Mungu na tusikate tamaa.
Hivi limekaaje hili suala la mtoto wa kike kukaa nusu uchi mbele ya kaka yake au baba yake mzazi,
Leo nimepita katika familia moja kubwa na ya kitajiri kwelikweli hapa nchini nimeshuhudia hili na wao wako sawa kabisa wala hawahisi kukosea.

Niliitwa na rafiki yangu mtoto wa tajiri huyo, nilipofika katika nyumba hiyo nikashtuka kidogo kuona hali ilivokuwa pale, mtoto kavaaa kigauni kifupi kiasi kwamba hawez hata kuinama bila kuonyesha utamu wake hadharani na juu huko nguo ni very transparent Niliwakuta wakicheza Ps ila katika viti tofauti,
Je imekaaje hii ni uzungu au.
We utakuwa mtu wa pwani, maana hayo ndiyo yenu!
 
Hv kati ya kizazi kilochopo na watu wa zamani ni wapi walikuwa wanakaa uchi!??je kama ni mavazi ndio yamepunguza kuhamasisha uzinzi ni kwa nini kizazi hiki chenye mavazi tele ndiyo kinaonekana kina uchu wa ngono/kutamaniana zaidi kuliko walioishi uchi miaka ya mababu wa mababu
Zamani walikuwa wanakaa uchi zaidi kuliko sasa hivi...!
Siamini kama ujio wa mavazi ndio uliopunguza hamasa ya uzinzi, kwa sababu siamini kama zamani kabla ya ujio wa mavazi kulikuwa kuna hamasa ya uzinzi kwa sababu tu walikuwa almost uchi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom