Hivi kumbe SportPesa ni wahuni kiasi hiki?

Mimi walininyima cash out, kati ya timu tisa ilibaki timu moja ambayo ingecheza kesho yake, nikahitaji nitoe haikuruhusu
Unajua maana ya cashout na kazi yake? Cashout haijawekwa kwaajili ya kukunufaisha wewe Bali kampuni.

Cashout unapewa kulingana na asilimia za ushindi zinazoonekana katika ticket yako (kitengo Cha risk managent) Kama mkeka wako timu iliyobaki inaonesha zaidi ya 70% utalost hiyo gem cashout itafungwa automatic mapaka umelost.

Ukiona umeolewa cashout ujue mkeka wako inaonesha asilimia za juu za Kushinda hata kama hutoshinda
 
wajinga sana walininyima pesa ja jackpot wakasema tulishinda watu elfu 70 kila mmoja akapewa mia tano.
Sijawatumia tena nikakimbilia sportybet
Hiyo nikweli mkishinda wengi mnagawana. Ukiona wewe umeshinda ujue jackpot ilikuwa rahisi.

Jaribu jackpot ya timu 17 ukipata umepata sio rahisi mtu kupatis 17, Ila 6, 8, 12, 13 mnaweza kugongana wengi tu kunasiku inakuwa rahisi ndio mnashinda wengi
 
Huu mchezo unafanywa na makampuni mengi tu sio sportypesa pekee, cha kufanya screenshot itakusaidia kama kuna wizi kama huo.
Hakuna kitu Kama hicho ,, yani kampuni za betting hazina Cha kupoteza hata wewe ushinde ,, Tena ukishinda unawasaidi kwenye advertising,, kampuni ya betting haiwezi kukuibia 5000 wakati wewe unaweza kuwapelekea pesa za kutosha kwa kupoteza mwenyewe kwenye mkeka,,, ukiona umeshinda laki ujue wenzako wamepoteza mamilion yakutosha,,, Yani sportpesa anaweza kutoa zaidi ya Bilion 100 kwa udhamini wa vilabu bure aje akuibie wewe 5000 😅
 
Wewe jamaa mbona unawatetea ukweli usemwe jamaa hawajanitendea haki kunibadilishia mkeka wangu baada yakuona náelekea kushinda nanilikuwa nimeshinda. Nivile sijui nilalamike wapi?
Umejichanganya mkuu ,,hakuna mtu anaweza kubadilishiwa mkeka hizo Ni system tu na Wala hazishikwi na mtu. Pia sport book haitengenezwi hapa Tanzania Sasa wataedit je mkeka wako ?
 
Hakuna kitu Kama hicho ,, yani kampuni za betting hazina Cha kupoteza hata wewe ushinde ,, Tena ukishinda unawasaidi kwenye advertising,, kampuni ya betting haiwezi kukuibia 5000 wakati wewe unaweza kuwapelekea pesa za kutosha kwa kupoteza mwenyewe kwenye mkeka,,, ukiona umeshinda laki ujue wenzako wamepoteza mamilion yakutosha,,, Yani sportpesa anaweza kutoa zaidi ya Bilion 100 kwa udhamini wa vilabu bure aje akuibie wewe 5000 😅
Unaiona afu 5 ndogo sana? Unachoibiwa sio hiyo 5,000, unaibiwa dau ulilopaswa kushinda kwa kubadilisha machaguzi yako.

Mimi ni mdau mzuri wa kucheza over, huwa ni over 0.5 na 1.5 sichezagi over 2.5 hata iweje, kuna siku msimu huu huu mkeka una timu zaidi ya 20 mpaka half time zimetoa timu 16, bado nne, dkika ya 87 hivi timu moja tu ina goli moja ikapata goli la pili nikawa nangoja hela, haikuja nakuja kuchek naona ile mechi chauo ni over 2.5 kitu ambacho sikuweka kabisa.
 
Pole siwezi ongelea bila screenshot bnagso nasukaga mkeka wa siku 2 lpaka 4 wa ov 0.5 na ov 1.5
Ltr nascreenshort infact nasave n sportybet sijawahikutana na huu ufirauni
 
Unaiona afu 5 ndogo sana? Unachoibiwa sio hiyo 5,000, unaibiwa dau ulilopaswa kushinda kwa kubadilisha machaguzi yako.

Mimi ni mdau mzuri wa kucheza over, huwa ni over 0.5 na 1.5 sichezagi over 2.5 hata iweje, kuna siku msimu huu huu mkeka una timu zaidi ya 20 mpaka half time zimetoa timu 16, bado nne, dkika ya 87 hivi timu moja tu ina goli moja ikapata goli la pili nikawa nangoja hela, haikuja nakuja kuchek naona ile mechi chauo ni over 2.5 kitu ambacho sikuweka kabisa.
Inaitwa newtons 3rd law of motion
 
Back
Top Bottom