Taarifa hizi za Urusi kupiga kombora Poland nilitegemea ziibue panic si ya kawaida kwa NATO wote (wale halisi wa kule na hawa wetu waliopo nanjilinji, mailimoja, kwa mfipa n.k) kwa jinsi walivyokuwa wanamtafuta kwa kitendo chake cha kuvamia Ukraine. Ni wakati gani tena bora wa kumfumua mtu 'dhaifu' kabisa a.k.a supa pawa wa mchongo kama huu?
Nimebaki na mshangao kusikia kuwa Biden mwenyewe ndiyo wa kwanza 'kutilia shaka' uhusika wa Urusi kabla hata Urusi yenyewe. Wenye miaka 40+ kuna kitu tumeelewa hapa kabisa kabisa.......wenye miaka 20- endeleeni kurusharusha mawezele tu unconsciously, wakubwa wa dunia wanajuana hawa!
Hivi upole huu ungelikuwa hivi hivi kama mtuhumiwa angekuwa Iran au Venezuela?!!!