Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Sawa ila hivi unaweza kuwalinganisha watoto wa Sykes na Andrew Nyerere au madaraka Nyerere?
Sifa ya utoto wa mjini ni kuweza kuimili mikiki mikiki yote ya fitna, unafki, ukata na njaa. Ni kawaida mtoto wa mjini leo kufilisiwa na bank lakini after three months unanunua nyumba mbezi beach, mikocheni na amevuta Benz ML mpya anaendelea kutanua.
Sasa wewe jiulize familia ya Nyerere kama sio kutunza na serikali leo hii ingekuwaje? Watoto wenyewe ndio wale akina Andrew Nyerere na Madaraka Nyerere leo hii wapo kama vichaa. Sasa walinganishe na watoto wa akina Sykes..
Hao wasukuma wako ni vyeo tu na pindi watakapovuliwa huwezi kuwapambanisha na watoto wa mjini akina Nape na Riz..
Kwani ni nani alikwambia wao wanataka kupambanishwa na yoyote yule? Isitoshe ni nani alikwambia wao wanataka kuwa hivyo unavyotaka wewe wawe? Labda wameridhika jinsi walivyo unajuaje?