Hivi kati ya hawa wanaojiita Wachambuzi nani yupo vizuri na nani anababaisha tu?

Najckia nna Bahat sana kuwa humu ndani .....ubunifu na ukweli...
APA ndo nyumban
Thanks ol. Ila Mauki hatari
 
Hasani simjui

Mauki labda kwa public speaking yupo vizuri pamoja na mahusiano.

ila kwa ile hard psychology bado sana... ile huwa nature yake jinsi unavyokuwa nondo ndivyo maneno yanavyopungua tena ukiwa kwenye clinical psychology unaishia kuwa dokta wa vichaa..au kuwa kama wale watoa suluhu kwa maneno machache tena magumu...
 
Unapozungumzia uchambuzi nadhani unamaanisha hoja inakuwa mezani na hivyo unaifanyia uchambuzi wa kitaaluma kuidadavua kwa mifano na kama ni tatizo ktk jamii unatoa hata way forward. Napata ukakasi kukujibu moja kw moja kuwa nani zaidi ni mchambuzi. Mfano huyo Chris Mauki amekuwa akiandika hoja ambazo kama unamfuatilia kwa asilimia kubwa ni kuwa mtetezi wa wanawake kwa kutumia hoja za utandawazi zisizoendana na maadili ya mila na desturi za kiafrika. Ukiangalia hata wanaoshabikia hizo hoja zake kisaikolojia wana matatizo ktk mahusiano yao aidha ndani ya ndoa na wengine kuachika ktk mahusiano. Angalia hoja zake uone ni asilimia ngapi ya wanawake ndo wanamfollow. Mwingine sio kisaikolojia kana kwamba kuwalinganisha ni ngumu kwani wako ktk wigo tofauti.
 
Hivi unadhani wanafeli kwakuwa maswali ni magumu? Wkt mwingine akina bashite wanajikuta wajuaji. Wanaenda beyond. Nje ya kitu ambacho wameulizwa....
 
Wote wachumia tumbo tu hakuna mchambuzi hapo
 
Hassan Ngoma huyu wa Clouds 360 au yupo mwingine? Kama huyu naye tunamwita "mchambuzi" basi this country is in big trouble
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…