mwanike wa ukaya
Senior Member
- Feb 3, 2017
- 115
- 79
Najckia nna Bahat sana kuwa humu ndani .....ubunifu na ukweli...
APA ndo nyumban
Thanks ol. Ila Mauki hatari
APA ndo nyumban
Thanks ol. Ila Mauki hatari
Ila yanaegemea zaidi kwenye kuwatia moyo wanawakeJamani Mauki ni balaa, ushauri wake na maneno yake ni kiboko.
Mauki anadeal sana na ushauri kwa wanawake na kina jemsi delishiasiIla yanaegemea zaidi kwenye kuwatia moyo wanawake
ExactlyMauki ana dili na mambo ya kijamii na mahusiano,sijawai kumsikia kwenye masuala ya kiuchumi.
Alifanyia wapi PhD yake au ni kama maji marefuSio Chris Mauki....ni Dr Chris Mauki
Pretoria University South Africa. Pia ni lecturer pale UDSM.Alifanyia wapi PhD yake au ni kama maji marefu
Unapozungumzia uchambuzi nadhani unamaanisha hoja inakuwa mezani na hivyo unaifanyia uchambuzi wa kitaaluma kuidadavua kwa mifano na kama ni tatizo ktk jamii unatoa hata way forward. Napata ukakasi kukujibu moja kw moja kuwa nani zaidi ni mchambuzi. Mfano huyo Chris Mauki amekuwa akiandika hoja ambazo kama unamfuatilia kwa asilimia kubwa ni kuwa mtetezi wa wanawake kwa kutumia hoja za utandawazi zisizoendana na maadili ya mila na desturi za kiafrika. Ukiangalia hata wanaoshabikia hizo hoja zake kisaikolojia wana matatizo ktk mahusiano yao aidha ndani ya ndoa na wengine kuachika ktk mahusiano. Angalia hoja zake uone ni asilimia ngapi ya wanawake ndo wanamfollow. Mwingine sio kisaikolojia kana kwamba kuwalinganisha ni ngumu kwani wako ktk wigo tofauti.Habari zenu wana jamvi.
Naomba kuwaulizeni nimekuwa nikisikia kuwa kuna Watu hawa Wawili wanajiita Wachambuzi mahiri wa masuala ya Kijamii, Kiuchumi na Kisiasa nchini Tanzania ambao ni Chris Mauki na mwenzake Hassan Ngoma.
Japo sijawahi kuuthibitisha huo umahiri wao ila nimekuwa nikisikia tu Watu wakiwajadili sehemu mbalimbali hali iliyonipelekea leo kuwaulizeni je kati ya Chris Mauki na Hassan Ngoma ni nani ni Mchambuzi wa kweli na yupo vizuri Kwa kujenga hoja na ni nani anababaisha tu na hayuko vizuri Kihoja?
Kila siku nimekuwa nikiitumia JF kama Kioo changu cha kupata ukweli wa mambo kadha wa kadha hivyo atakayetajwa hapa kwa uwingi kuwa ndiyo mahiri basi na Mimi nitaamini na kuanza kumuheshimu na yule atayetajwa kwa uwingi kuwa wa hovyo hovyo basi nami ndiyo nitampuuza kimoja.
Karibuni na Kazi kwenu!
Hivi unadhani wanafeli kwakuwa maswali ni magumu? Wkt mwingine akina bashite wanajikuta wajuaji. Wanaenda beyond. Nje ya kitu ambacho wameulizwa....Watu bwana ! Jamaa kauliza kati ya Hasan Ngoma na Chris Mauki mnaleta habari za watu wengine ! Tunajuwa hao mnao wataja ni bora zaidi, lakini mleta maada hayuko huko. Yeye anataka majibu kati ya hao aliotaja. Watu Huanguka mitihani kizembe namna hii. Akina Bashite ni wengi Kumbe.
Wote wachumia tumbo tu hakuna mchambuzi hapoHabari zenu wana jamvi.
Naomba kuwaulizeni nimekuwa nikisikia kuwa kuna Watu hawa Wawili wanajiita Wachambuzi mahiri wa masuala ya Kijamii, Kiuchumi na Kisiasa nchini Tanzania ambao ni Chris Mauki na mwenzake Hassan Ngoma.
Japo sijawahi kuuthibitisha huo umahiri wao ila nimekuwa nikisikia tu Watu wakiwajadili sehemu mbalimbali hali iliyonipelekea leo kuwaulizeni je kati ya Chris Mauki na Hassan Ngoma ni nani ni Mchambuzi wa kweli na yupo vizuri Kwa kujenga hoja na ni nani anababaisha tu na hayuko vizuri Kihoja?
Kila siku nimekuwa nikiitumia JF kama Kioo changu cha kupata ukweli wa mambo kadha wa kadha hivyo atakayetajwa hapa kwa uwingi kuwa ndiyo mahiri basi na Mimi nitaamini na kuanza kumuheshimu na yule atayetajwa kwa uwingi kuwa wa hovyo hovyo basi nami ndiyo nitampuuza kimoja.
Karibuni na Kazi kwenu!
Mwl Kashasha noma sana,mambo ball control,ball balance..Mi namwelewa mwalimu kashasha
Na juzi kati amezua balaa..nimecheck uzi huu wa miaka 3 iyopita nikabaki nacheka tu maana kamanda ameegemea upande mmoja sidhani kama ana client wanaume wengiMauki anadeal sana na ushauri kwa wanawake na kina jemsi delishiasi