Hivi jimbo la Lazaro Nyalandu halina kero zinazomhitaji?

Hapo ilikuwa KIKI zaidi! Singida kaskazin wanatumika tu kumuweka juu katika siasa. Kusema kuna issue anafanya kule ni kupoteza muda!
 
Nyie ndio wachawi wenyewe. Yaani una wivu hawa watoto kusaidiwa!
yeaah mimi mi miongoni mwa wachawi toka huko sumbawanga aka swax!

nachawia tu na ulivyo kichwa maji ata usielewe mada inataka nn
 
Mwaka huu mwanzoni kulikuwa na mlipuko wa Kipindupindu jimboni kwake na kusababisha vifo vya watu 3 katika vijiji vya Msange, Mudida na Ghata, huyu mbunge hajawahi kufika kufariji wagonjwa wala msaada wowote wa dharura kama mbunge, badala yake aliondoka kwenda kuhudhuria kuapishwa rais wa Marekani Donald Trump

Hana kitu cha maana alichofanya jimboni
 
Back
Top Bottom