mwanzatrend
JF-Expert Member
- Dec 24, 2015
- 282
- 47
Mimi naona wana udugu na mzee Mengi.wewe toka miaka hiyo hadi leo ni ITV tu.
Duuuh kumbe ISIDINGO nayo ina mashabiki?!!!
Hizo nazo kama Isidingo?series zipo dunia nzima.South Africa itokako isidingo ipo pia.kuna GENERATION na RYTHIM CITY.Ukichoka ipishe.mimi niliangalia sana isidingo nikapumzika.
Mimi Mara ya kwanza niliiona mwaka 2005hadi Leo......
Natafuta yule demu mkali wa mule ndani nimuoe aje kasulu nione kama haachi....
Mkuu, anaitwa nani huyo demu mkali ndani ya isidingo?Mimi Mara ya kwanza niliiona mwaka 2005hadi Leo......
Natafuta yule demu mkali wa mule ndani nimuoe aje kasulu nione kama haachi....
Tunaifatilia sana mbona.Shangaa sasa kuna wasongo wanaifuatilia mpaka leo hii
Ha ha haaa ama bongo muvi jambazi anashika bastola ya plastikiIsindigo ni aina ya michezo ya kuigiza inayoitwa soap opera. Uwa hazina mwisho maana zinaongelea maisha ya watu ndiyo maana mtu anaanza igiza toka akiwa mdogo unamuona mpaka anakuwa mtu nzina.
Ni kati ya michezo ninayo ipenda siyo kama ole michezo ya kipuuzi ya kifilipino ya kitoto toto
awamu ya tano imekushika pabaya mkuu?Kame wewe huipendi, wapenzi Isidingo tupo wengi. Tena natamani iendelee mpaka hata mwisho wa awamu ya tano.
Yah mfano generation nilitazama nikachoka nikaachana nayo inaonyeshwa tv africa.Hizo nazo kama Isidingo?