mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,223
- 22,380
Distance To Cape Town From Cairo isDistance between Cape Town and Cairo is 12,418.6 km.
ni vigumu kuamin kuwa kitu kama hiki kipo dunian lakini ndo ukweli wenyew kuwa warusi si watu wa kawaida hata kidog,muda mwingine unawez ukasem awa jamaa ni wachawi maan vitu wanavyovitengenez ni ngum san kutengenezw sehem nyingine duniani.Voronezh radar ni radar ambayo kwa sasa aina mpinzani dunia nzima kutokan na ufanyaji kazi wake.
Countryof origin -Russia
Introduced -2009
Number built -4 operational in 2012, othersplanned
Type- Phased array Early-warning
radar
Frequency Voronezh-M: 150–200 MHz
( VHF)
Voronezh-DM: 0.1 m wavelength
( UHF) [1]
Range Up to 10,000 km [2]
Power Claimed 0.7 MW consumption [3]
[4]
Other Names 77YA6.
yani ina uwezo wa kuona kutoka urusi hadi Tanzania.inamaan kama tukiw nayo tuna uwezo wa kuona ulaya nzima pamoj na mabara mengine,urefu wa hii radar ni sawa na jengo la ghorofa 15.tukiw na kitu kama hiki lazim ujivunie
kawaida tu kupotea ndege ktk rada,kama imeangua utaiyona vipi?mkuu inakuwaje ndege zinapotea hata hii radar isione kama le ya Malaysia
Distance To Cape Town From Cairo is
4500 miles / 7242.05 km / 3910.39
nautical miles
Current time in Cairo :
Fri, 20 May, 2016, 11:00 AM +02:00
Current time in Cape Town :
Fri, 20 May, 2016, 11:00 AM +02:00
Time in Cairo and Cape Town are same.
Cairo - Lat: 30.05, Long: 31.25
Cape Town - Lat: -33.9167, Long: 18.4167
iyo ya kwako umeipata wapi?
ni kweli hata mie sijakataa ila nimemuelesh tumohamedi na bavaria wote mpo sahihi kuna flight distance na road distance wote mpo sahihi kupata distance ya cape to cairo...
Tupo pamoja mkuu sawa sawani kweli hata mie sijakataa ila nimemuelesh tu
Alafu Andrew Chenge asihusishwe kwenye manunuzi.itabidi wananchi tujichange ili nasisi tuwe nayo