Hivi inakuwaje mwanamke unakubali kuwa na lofa?

mwanaume hana ela unamganda tu mwanaumeamepanga chumba viwili eti unakubali kuolewa nae baada ya siku mbili waanza pita kwa mashosti kukopa kwan wenzako waliokuwa wamkataa huyo bwana walikuwa wajinga. mwanamke tumia uanamke wako shosti tafuta bwana mwenye ela ule maisha duniani maisha yenyewe mafupi hujui mbinguni utaishi vipi tufuta dume lenye ela sa we unatafuta kajamba nani mwishowa siku unanuka uvundo wazeeka kabla umri wako mwanaume mwenye ela ana raha bwana wanaume wasiokuwa na ela wachie sabuni ndo wake zao ao
ukiwa unaolewa niite nishuhudie ili nikatishe uhai wangu
 
mwanaume hana ela unamganda tu mwanaumeamepanga chumba viwili eti unakubali kuolewa nae baada ya siku mbili waanza pita kwa mashosti kukopa kwan wenzako waliokuwa wamkataa huyo bwana walikuwa wajinga. mwanamke tumia uanamke wako shosti tafuta bwana mwenye ela ule maisha duniani maisha yenyewe mafupi hujui mbinguni utaishi vipi tufuta dume lenye ela sa we unatafuta kajamba nani mwishowa siku unanuka uvundo wazeeka kabla umri wako mwanaume mwenye ela ana raha bwana wanaume wasiokuwa na ela wachie sabuni ndo wake zao ao
na mkishaanza kuuza askirim nyumbani kwenu utangaze humu pia tuje kuwaungisha
 
ukisoma vizuri uzi wake utagundua kaja kufanya biashara yake ya kuuza mwili... sema kazunguka kidogo ila wenye akili nyingi tumemsoma.. fursa mkuu hiyo kama upo vizuri kale mzigo..!!!
lol naona imekugusa nawe kajamba nani? mke wa mtu mie meamua niwape ukweli wanawake wezangu wanaume kajamba nani si wanaume mzigo
 
No 1 has ever climbed a coconut tree from the top... it all starts from bottom.

Hakuna kitu kizuri kama kuwa na mtu kipindi cha raha huku unareflect back mlipotoka. Unakumbuka enzi mume anatoka alfajiri saa 11 anarudu usiku saa3 na excuse kibao, hela hana mnakunywa uji mnalala.

Salute to all REAL women who date hustlers. Mwanaume 'shujaa' ni yule asiye na ujanja ujanja kama baxhite, maisha hayajawahi kuwa na shortcut, na mwanamke 'shujaa' ni yule anayeweza kumSpot mwanaume 'shujaa'.
I like this
 
Asifiwe 20170402_231128.jpg
 
Back
Top Bottom