Hivi huyu mdogo wa mke wangu anataka nini kutoka kwangu?

Hi guys

There's this girl my wife's younger sister who is still in campus, whom i have always respected as my shemeji

But her recent behavior towards me has caught my attention, she used to ask me for money through her sister, then my wife would pass it to her
Now she asks for money directly from me and she would beg kuwa nisiambie my wife kama ameniomba pesa
At one time aliniambia nimupelekee take away and she was serious because she kept on calling me ya kwamba nisiache kupeleka hiyo lunch box

On 14th of last month which was valentine day alinipigia simu asubuhi akiniuliza nitapeleka wapi dada yake jioni ya siku hiyo, any way tukaongea nae as jokes vile nikamweleza pale nitapeleka dada yake jokingly akiniuliza na mm utanipeleka wapi, nikasema unfortunately leo natoa out mwanamke mumoja tu which is ur sister
She replied that ok basi niletee hata gift tu i will be happy, i was like eeh
Funny enough she told me not to tell her sister kama amenipigia simu

Juzi, Tuesday I received a whatsaap masage from unknown halotel number it said hi I asked who r you? The other person said " ni mm girlfriend wako wa zamani umenisahau? The person was just teasing me hadi baadae kumbe ni shemeji yangu anasema ati alikua akipima mm aone kama niko faithful kwa sister wake ama la

So guys what is all this?
Nimekua nikitamani yy for years but kalikua bado ni kadogo sasa amekua mnono, kiuno yake ni ndogo lakini nyuma ni kubwa nyonyo yake hata bra haitakiwi na pia sauti yake ni nyororo sana
But conscious always prevented me from approaching her because i loved my wife and respected her so much,those days bibi yangu alikua so humble to me siku hizi amekua mukali sana hata nikifika home nafanyiwa inspection all over my body and the phone, zamanialikua polite, above all huyu mdogo wa bibi yangu alikua serious sana those days hakutaka utani na mm nikawa naogopa kumwambia maneno mbaya, but now all over sudden ameanza utani na mm kuomba pesa na kusema nipeleke lunch huko campus kwao and so forth

Guys munasemaje? Nifanye arrangement nimkule au hii ni trap kutoka kwa bibi yangu?
Because the way this young lady behaves it seems she want something from me

Pls advise accordingly
Achana naye kabisa, kaa vizuri na mke wako. Zafanana.
 
Acha kabisa mazoea na huyo binti, utasababisha balaa kubwa.
 
Ukishamkula huyo shemeji pia useme nae anapatikana KENYA kama ile oldivai gorge
 
sasa amekua mnono, kiuno yake ni ndogo lakini nyuma ni kubwa nyonyo yake hata bra haitakiwi na pia sauti yake ni nyororo sana
[/QUOTE]
kama vp nipe namba yake maana kanaonesha hakana bwana ndo maana kanasumbua afu ww endelea na mkeo
 
Hadi umeoa unashindwa kutofautisha "right na wrong"???? .
Laa Taqrabuz-Zinaa (usiikurubie zinaa)
 
Nipe namba ake ya mobile nimkule mimi, alafu marriage yako itabaki safe.
 
Wakuu nakubaliana na hili suala la kukimbia kabisa na kukataa zinaa. Mimi sijaoa bado ila mdogo wa mchumba wangu kwakweli ahh!
Haya majaribu kwakweli ni shida.
 
We mtu mzima
Mtu mzima mwenzako ukiona anakosea mwite na umweleze mambo ya kumwanika mitandaoni si vizuri
Mwanaume hapaswi fanya hivo
Kama wewe mwanaume kweli mwite na mwambie au mwambie mkeo
Akimwambia tu mke wake Ni "UMBEA" Tabia mbaya kabisa kwa mwanaume... Amtie tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom