- Thread starter
- #41
Ndo hapo pakufikirisha.Ndio uyabebe kama bendera ya taifa mifuko hakuna
Ndo hapo pakufikirisha.Ndio uyabebe kama bendera ya taifa mifuko hakuna
Mambo shemWeekend imeanza Vibaya Huko Kwenye uwanja wa malavedave, nimeshinda shamba kumbe kuna Watu wameshinda chumbani! Wengine watarejea kwenye vyumba vyao Kesho jioni na watasindikizwa Hadi stand na watapewa buku tano, wameshamfulia kijana, kumpikia na mchezo
Hahahahaha.....JFs haiboi.Unapewa pesa unaona aibu
Mi siogopi hata akiitisha press
Kwani wewe mwenzetu unaogopa kuonekana kama unapewa?Shida sio kutoa elfu Tano kwamba ndogo , kwanini hata kamaa ni milioni haumpi mkiwa wenyewe mpka ukamnange mtu barabarani!?.
Ongea vizuri na mvulana wako abadilikeSi nimemjibu. Mm ndo Bado sijapata majibu kwa wahusika au sijaeleweka shida sio umetoa sh. Ngapi , shida kwanini uitoe hadharani au kwanini Huwa mnatoa Hela za nauli hadharani!? Mnafanya hvyo kwanini.
Mfano: uliuliza " hivi kwanini dada zetu mnabandika kucha ndefu sanaa" . Jibu utapewa ni urembo.
Sasa kwanini mnazitoa hizo Hela na kubebelea matunda hadharani!?.
Ila kweli hii Tabia alinifundisha Mke wangu wakati namtongoza pale kinondoniKwanini hamuyaweki kwenye mfuko ukahifadhika!?, Mpka muyabebe mkononi wazi wazi. Kwani ukibeba kwenye mfuko hayawi matunda!??
Waache watoto mkuu hebu nitembelee kuleWeekend imeanza Vibaya Huko Kwenye uwanja wa malavedave, nimeshinda shamba kumbe kuna Watu wameshinda chumbani! Wengine watarejea kwenye vyumba vyao Kesho jioni na watasindikizwa Hadi stand na watapewa buku tano, wameshamfulia kijana, kumpikia na mchezo
Nadhani inategemea na malezi ya huyo mwanaume wako, mimi tokea nipo mdogo mama akinituma vitu ananipa mfuko mzito wa kubebea vitu hataki vyakula vinavonunuliwa kwa ajili ya familia vionekane na watu mitaani, hio hali imenifanya hata sasa hivi nimekuwa mkubwa najitegemea bado naendeleza hio tabia ya ustaha wa vyakula.Yaani utakuta mtu amekutoa out mtaongea weeee, sasa muda wa kuondoka anakusindikiza mpka stand ndo unakuta anatoa elfu Tano au elfu kumi anakupa mbele ya kadamnasi itakusaidia nauli.
Khaa!! Yaani koteeee huko hukuona fursa ya kutoa hiyo nauli mpka usubirie mbele za watu ndo uitoe, ukiitoa wakati tupo wenyewe ingekuwaj?
Au mume anakuja nyumbani kabebelea matunda kwenye vifuko vile vyeupe, au kashikilia mkononi, kwani mifuko hakuna huko ulipotoka!?, Mpka uje unavinanga barabarani?
Utakuta wengine anatembea umbali mrefu na matunda yake mkononi.
Huwa mnafanya hivyo kwanini!? Mimi nimeshindwa kuwaelewa kbsaaa. Hebu tuelewesheni.
Umeona sasa mwambie wife anywe soda ulipe😀Ila kweli hii Tabia alinifundisha Mke wangu wakati namtongoza pale kinondoni
Nilijifunza nikinunua kitu hata mama ni machunga ya Jero nayanunulia Mfuko wa buku napamia humo.
Inaleta heshima fulani kwa majirani.
🤣😂😎 ni ukauzu tu hakuna cha sifa kwa majirani. Unakuta mtu mfukoni ana 2,000 sa anawaza atoe 500 ya mfuko wakat angepata machungwa au ndizi 2 au 3.Hii ya majirani watajuaje anahudumia nimeielewa 😃 kwahy kumbe Huwa mnataka kuonekana na kusifiwa mnajua kuhudumia.
Kumbe tupo wengi inayotukera , inakuwa kama anakusimanga nayo.Waambie tabia inanikera mno hio.
Kupeana peana hela mabarabarani sipendi wallah
😂😂 kama unataka kuzama pm vileInaonekana unadate na watoto under 18. Mtu mzima matured hawezi fanya hivyo soo unatakiwa kuwa muangalifu
Kwanini wewe usitowe hiyo elfu kumi uwape wanaume mbele ya watu?Yaani utakuta mtu amekutoa out mtaongea weeee, sasa muda wa kuondoka anakusindikiza mpka stand ndo unakuta anatoa elfu Tano au elfu kumi anakupa mbele ya kadamnasi itakusaidia nauli.
Khaa!! Yaani koteeee huko hukuona fursa ya kutoa hiyo nauli mpka usubirie mbele za watu ndo uitoe, ukiitoa wakati tupo wenyewe ingekuwaj?
Au mume anakuja nyumbani kabebelea matunda kwenye vifuko vile vyeupe, au kashikilia mkononi, kwani mifuko hakuna huko ulipotoka!?, Mpka uje unavinanga barabarani?
Utakuta wengine anatembea umbali mrefu na matunda yake mkononi.
Huwa mnafanya hivyo kwanini!? Mimi nimeshindwa kuwaelewa kbsaaa. Hebu tuelewesheni.
Mama Apewe maua yake kwa Hilo, angalau wewe sio mmoja wao. Maana imekuwa kasumba kwa wanaume wengiNadhani inategemea na malezi ya huyo mwanaume wako, mimi tokea nipo mdogo mama akinituma vitu ananipa mfuko mzito wa kubebea vitu hataki vyakula vinavonunuliwa kwa ajili ya familia vionekane na watu mitaani, hio hali imenifanya hata sasa hivi nimekuwa mkubwa najitegemea bado naendeleza hio tabia ya ustaha wa vyakula.
Suala la pesa kupewa mkononi nalo linategemea na ustaarabu wa mtu tu, mm huwa najifanya kama nampa mkono then namshikisha kimya-kimya, hakuna mtu anayeona.
Watasema wamedharauliwa wamekuwa viben tenKwanini wewe usitowe hiyo elfu kumi uwape wanaume mbele ya watu?
Mifuko ipo Hadi ya 200, utakuta Kuna muda kabeba ndizi 2 na machungwa 3 barabara nzima vinamulikwa.🤣😂😎 ni ukauzu tu hakuna cha sifa kwa majirani. Unakuta mtu mfukoni ana 2,000 sa anawaza atoe 500 ya mfuko wakat angepata machungwa au ndizi 2 au 3.
Anyway, inategemea pia mtu na mtu na ustaarabu wake anavyojiona
Msipopewa pesa mbele ya kadamnasi nyie ni vinyonga hamchelewi kusema jamaa hakuhudumiiYaani utakuta mtu amekutoa out mtaongea weeee, sasa muda wa kuondoka anakusindikiza mpka stand ndo unakuta anatoa elfu Tano au elfu kumi anakupa mbele ya kadamnasi itakusaidia nauli.
Khaa!! Yaani koteeee huko hukuona fursa ya kutoa hiyo nauli mpka usubirie mbele za watu ndo uitoe, ukiitoa wakati tupo wenyewe ingekuwaj?
Au mume anakuja nyumbani kabebelea matunda kwenye vifuko vile vyeupe, au kashikilia mkononi, kwani mifuko hakuna huko ulipotoka!?, Mpka uje unavinanga barabarani?
Utakuta wengine anatembea umbali mrefu na matunda yake mkononi.
Huwa mnafanya hivyo kwanini!? Mimi nimeshindwa kuwaelewa kbsaaa. Hebu tuelewesheni.
Eeehh kwahy unahudumia kwa ajili ya kadamnasi ione sio kutimiza wajibu wako!.🤔Msipopewa pesa mbele ya kadamnasi nyie ni vinyonga hamchelewi kusema jamaa hakuhudumii
Mashahidi lazima waone