Shanily
JF-Expert Member
- Nov 4, 2024
- 768
- 1,545
Yaani utakuta mtu amekutoa out mtaongea weeee, sasa muda wa kuondoka anakusindikiza mpka stand ndo unakuta anatoa elfu Tano au elfu kumi anakupa mbele ya kadamnasi itakusaidia nauli.
Khaa!! Yaani koteeee huko hukuona fursa ya kutoa hiyo nauli mpka usubirie mbele za watu ndo uitoe, ukiitoa wakati tupo wenyewe ingekuwaj?
Au mume anakuja nyumbani kabebelea matunda kwenye vifuko vile vyeupe, au kashikilia mkononi, kwani mifuko hakuna huko ulipotoka!? Mpka uje unavinanga barabarani?
Utakuta wengine anatembea umbali mrefu na matunda yake mkononi.
Huwa mnafanya hivyo kwanini!? Mimi nimeshindwa kuwaelewa kbsaaa. Hebu tuelewesheni.