miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,815
- 49,031
Ha ha ha hapo unajigeuzamimi bado sijaamka atiii
Ha ha ha hapo unajigeuzamimi bado sijaamka atiii
True lkn uwe umetafuna ya mkeo kama ni ya changupaka huwezi pata usingizi mujarabHuo usingizi huwa mtamu zaidi kama umetafuna Papuchi mida ya Saa kumi au tisa ivi ni Amazing
Hahahaha,aisee hiii kali.Lkn mbn mtamu siku za kazi tu
Hakuna jinsi kukabiliana na hili tatizo inabidi zitengenezwe alarm Robot zinazopiga makofi pindi inapokustua mara mbili au tatu afu bado unajigalagaza kitandani linakukata konde kama mbili mfululizo usingizi lazima uishe.Mwaamkaje humu?
Jamani naombeni kuuliza hivi kwanini usingizi wa alfajili ni mtam hivi? au masaa haya shetani ndo huwa naye kaamka?
Maana haiwezekani usiku kucha nasaka usingizi sipati, napata wa mang'am ng'am lakini punde inapokaribia mida ya kuamka kwa ajili ya ibaada na sala za asbuh/swala kwa waislam au kuwahi kazini hapa ndipo huja usingizi mtamu balaa hadi hunichelewesha!
Yaani nakereka ila cjui nifanyeje maana hata nikiweka alarm huwa naisukumia mbali kwa utam wa usingizi wa alfajili, na nadhan pia wezi nao huiba mida hii, naomben mwenye tiba ya hii, na je ni kwann usingizi wa namna hii huja alfajiri/asbuh?
Yeyote anayejua siri ya usingizi wa asubuhi atujuze maana mi naona kama ni usingizi wa kupinga maendeleo kiuchumi na kiimani.
1. Kama umejiajiri huwezi pata usingizi asubuhi
_ una madeni
_ una mzigo wa kuagiza
_ hali ilivyobana
_ nyumba baaado haijaisha
_ wazazi wanataka matunzo
_ biashara haendi vizuri
_ unataka kufikia ndoto zako
_ majukumu ya kifamilia
_ mambo ya kijamii yanataka hela
_unatamani siku iwe Masaa 25 walau kuongeza muda wa mauzo
2. Kama Umeajiriwa huwezi pata usingizi asubuhi hata chembe
_ unaipenda kazi yako
_ natekeleza majukumu yote 100%
_ unawaza kuanza au kuendeleza kijiofisi kako.
_ uko bize ofisini , na kajiofisi kako mdomdogo
Zaidi familia Mtoto anakuitaji
Kwa kifupi mkuu ukiwa bize vya kutosha huwezi lala asubuhi
Utatamani iwe masaa
25hrs badala ya
24hrs
Waafrica wengi kuna shida iko na sisi mahali ndo maana ata katika hoja humu umeambiwa ujenge tabia ya kumla mkeo asubuhi,
Wengine wakila ndo wanapitiliza adi saa 2
Feeeeeh shhhhhh....nzi