Hivi hili linawezekana!

Ukiwa bize na kazi au una matatizo huwezi kufikiria kabisa,lakni ukiwa upo sawa na kila kitu kinaenda sawa huwezi acha kufikiria hyo kitu.
 
Swala la ngomo ni la kimaumbile haliepikiki ni sawa na usingizi au njaaa ila sasa km kazi yako kukaa tu na kushinda kuangalia Mange Amepost nn basi haufikij hata dakika 5 utawaza kungonoka.
Na km uko bize hasa na kazi zenye manufaa unaweza fika hata wiki hujawaza ngono.
Yaani Unaingia kazini Asubuhi uko bize mpaka unasahau kula sembuse ngono
 
Watu wengi hawajaelewa huu uzi unachomaanisha.

Ishu ni kuwaza tu kuhusu kugegeda sio kugegeda tendo. Hiyo haiwezekani kwa binadamu anayeishi akiwa kamili awe ME au KE labda awe na upungufu wa homoni.

Kila siku lazima uwaze hata wakati ukiwa unaoga unaweza ukajikuta tu umewaza kufanya ile kitu.
 
Looo! Mimi inaweza pita wiki sijafikiria hayo mambo labda nikija JF ndo kunastua hisia hizo sometimes.... Yaani unapata mgegedo wa haja wa kukupeleka wiki nzima!
Ukiwa bize sana haswa shughuli za kutumia akili, yaani ata kula au kulala unaona kunapoteza mda wala hufikirii kugegedana
 
mi nawaza ila kufanya live sipendi kabisa.naweza kukubaliana na mtu kabisa kila kitu kikapangika ila ikafika muda wa kwenda lazima nipangue
 
mi nawaza ila kufanya live sipendi kabisa.naweza kukubaliana na mtu kabisa kila kitu kikapangika ila ikafika muda wa kwenda lazima nipangue
Sometimes inatokea hivyo!
Ila mie nikiliwaza lazima nilipate aisee!!! La sivyo ntahangaika kama kuku!!
 
Sometimes inatokea hivyo!
Ila mie nikiliwaza lazima nilipate aisee!!! La sivyo ntahangaika kama kuku!!
ahahaaaaa yaani mimi napata shida ya nyege ila mwanaume akija mbele yangu zinaisha zote sijui kwanini? may be nawachukia sana
 
ahahaaaaa yaani mimi napata shida ya nyege ila mwanaume akija mbele yangu zinaisha zote sijui kwanini? may be nawachukia sana
Nyie wa aina hiyo mpo wengi sana imeshanitokea sana hiyo,Mnaboa aisee tena mnaboa yaani siku mnapokubali ndio maana Mtoto hatumwi Dukani.
 
Back
Top Bottom