Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,749
- 76,493
Hivi weww utakaa kwa mwanao mwezi mzima? Utakuwa unafanya nini?Mmh haya bwana....
Hivi weww utakaa kwa mwanao mwezi mzima? Utakuwa unafanya nini?Mmh haya bwana....
Siongelei huo upande kabisaaaa, naongelea huo upande mwingine. Its better kila mtu aishi kwake, mtembeleane tu. Maybe kama hamna namna nyingine.bas tufanye hivi sio kwa wote
matatizo kuhusu wakwe kuna mda sisi ndio tunataka liwe tatizo
Alafu bora uishi kwa amani basi, unaanza tena figisu figisu!!!Hivi weww utakaa kwa mwanao mwezi mzima? Utakuwa unafanya nini?
hapo inategemea na familia kila koo na tabia zake tumpe tu pole huyo dadaSiongelei huo upande kabisaaaa, naongelea huo upande mwingine. Its better kila mtu aishi kwake, mtembeleane tu. Maybe kama hamna namna nyingine.
Shure, kuna watu hadi wanakufa mama we acha tu. Haya mambo yasikiage tu na usiombe yakukute.hapo inategemea na familia kila koo na tabia zake tumpe tu pole huyo dada
Akafunge nnHuyo mama alimuweka tumboni huyo kijana kwa muda wa miezi tisa, na hakulalamika.
Na bado akamlea na kumlisha kwa mkono wake mpaka akapata ufahamu wa kukutana na hako kabinti.
Leo hii Mama ameamua akae na kijana wake aliyemzaa tena kwa muda wa miezi sita tu na hako kabinti kanaona kero?
Hahahah nyie wanawake bhana,
kwo mnataka afukuzwe au?
Nenda kamwambie huyo shosti wako afunge bakuli lake
Kwa jamii zingine ni aibu mfanoAlafu bora uishi kwa amani basi, unaanza tena figisu figisu!!!
Huyo mama alimuweka tumboni huyo kijana kwa muda wa miezi tisa, na hakulalamika.
Na bado akamlea na kumlisha kwa mkono wake mpaka akapata ufahamu wa kukutana na hako kabinti.
Leo hii Mama ameamua akae na kijana wake aliyemzaa tena kwa muda wa miezi sita tu na hako kabinti kanaona kero?
Hahahah nyie wanawake bhana,
kwo mnataka afukuzwe au?
Nenda kamwambie huyo shosti wako afunge bakuli lake
Ungekua karibu ningekununulia japo kasoda tu upoze koo ulichoongea nikweli kabisa mfano halisininao mimi kwa mama yangu mzazi mkwe wake yaani mke wa kakangu alimuomba amulee nikweli anamulea vizuri naanasaema namchukulia kama mzazi wangu nakuna mengine mama anafanya hadi sisi wanae tunamkosoa tunamwambia mama hapo sasa umebugi lakini shemeji wala hata angemtukana uwezi sikia kamrudishia hata siku moja shida dada zetu mnadeka sana umeshaingia kwenye ndoa bado tu unataka udeke kamavile uko kwenu loooespy sio hayajanikuta na uzoefu na hao watu dear ukiwajulia hawana shida ata kama wana matatizo yao ukiwachukulia kama wazazi wako waliokuzaa wenyewe wanajirudi
Kwakweli.Kwa jamii zingine ni aibu mfano
1. Kaka kuishi kwa kaka aliyeoa
2. Baba kuishi kwa mwanao
Sasa pia inategemea na jamiii
Amen.Sio busara mzazi kuishi kwa mwanao siku zote hizo na huna cha maana unachofanya. NARUDIA SIYO BUSARA. Haki ya kukaa unayo ila sio busara.
Halafu inaonyesha wewe unawachukia Wakwe sio kwa kusapoti huko (jokin)Amen.
Mh!! Aiseee!! Ama kweli kaz yaMimi mzazi wangu namwambia ukweli....na nina uhakika hawezi kukaa kwqngu hata 1 week labda sijui itokee nini. Kwanza atakuwa anafanya nini?
Nimepayuka mkuu? ?Mh!! Aiseee!! Ama kweli kaz ya
Mdomo n kupayuka tu
Siwachukii, kama anakuja kukaa kwa amani hakuna tatizo. Shida ni hizo figisu figisu zao. Alafu mtu ana kwake na kamuacha mumewe muda wote huo kweli!!!Halafu inaonyesha wewe unawachukia Wakwe sio kwa kusapoti huko (jokin)
mlipe tu mangi ndio nakunywa soda hapaUngekua karibu ningekununulia japo kasoda tu upoze koo ulichoongea nikweli kabisa mfano halisininao mimi kwa mama yangu mzazi mkwe wake yaani mke wa kakangu alimuomba amulee nikweli anamulea vizuri naanasaema namchukulia kama mzazi wangu nakuna mengine mama anafanya hadi sisi wanae tunamkosoa tunamwambia mama hapo sasa umebugi lakini shemeji wala hata angemtukana uwezi sikia kamrudishia hata siku moja shida dada zetu mnadeka sana umeshaingia kwenye ndoa bado tu unataka udeke kamavile uko kwenu looo