Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,230
- 7,402
Hapo atadakwa chap kama alivyodakwa Kiza BesigyeKakimbilia Kenya
Hapo atadakwa chap kama alivyodakwa Kiza BesigyeKakimbilia Kenya
Kenya siyo sehemu salama kukimbilia serekali hizi zina ushirikiano katika mambo ya kiusalama huwa wahalifu wanaofanya uhalifu nchi moja na kukimbia nchi hizi za EA wanakamatwa na kukabidhiana itakua hawajaamua tu kumkamata kwa njia za halali, ila bado hayuko salamaKakimbilia Kenya
Pipa la AsidiWatu wa twitter wanasema wanajua alie mchukua na walikua kila siku wanaweka update ya idadi ya siku alizopotea zimefika ngapi ila siku hizi naona wameacha kuhesabu
Je, ikiwa hivo na Rais wa wakati wa umauti wake nae atakufa kama alivyokufa yule mwingine?Deusdedith Soka amepotea kimzaha mzaha. Miaka ya nyuma alitoweka Ben Saanane kama utani mpaka leo hatujawahi kumuona tena.
Je ndio washamalizana na Soka?
Pia soma
Soka yupo wapi? Tuambieni kama mmemficha au mmemuua tujue moja
We unashangaa hiyo je hushangai hii ya watekaji wa juzi hapa ambao sura zimeonekana wazi wazi kwenye video na baadhi yao wanafahamika kabisa je umeshasikia nani kakamatwa kati yao?Deusdedith Soka amepotea kimzaha mzaha. Miaka ya nyuma alitoweka Ben Saanane kama utani mpaka leo hatujawahi kumuona tena.
Je ndio washamalizana na Soka?
Pia soma
Soka yupo wapi? Tuambieni kama mmemficha au mmemuua tujue moja
ElezeaTUPUNGUZE UJUAJI NA KUTUMIKA KAMA LESO
Acid mbali Tz ni kubwa unaweza kuchimbiwa kaburi kwenye mapori huko na ikaisha bila mtu kujuaPipa la Asidi
Pipa la Asidi hio wamejifunza hapo walipompoteza Patricke Lumumba mpaka leo hata ukucha wake haijapatikanaAcid mbali Tz ni kubwa unaweza kuchimbiwa kaburi kwenye mapori huko na ikaisha bila mtu kujua
Polisi wamevunaNdiyo ameuwawa na wale wenzake alioambatana nao kuficha ushahidi. Ila yuko Mungu Shahidi mwaminifu.
Serikali ilitumia bilion 1 kuzima maandamano ya kumdai Soka na wenzake kwakuwa there was no way ya kuwapata popote.
Imagine serikali inatumia zaidi ya bilioni moja kuzima maandamano
Tuache kutoa roho za watu ni dhambi kubwa sana.TUPUNGUZE UJUAJI NA KUTUMIKA KAMA LESO
acha kuchoma moto wezi wa vitu vya elf 5 , piga vita hawa wauajiWanamnyatia nyatia kwa nyuma mkumbushe na yule bwana matusi kule X awamu hii kaja na matusi mapya mapya
kwan katiba imezuia watu kutoa maoni ?TUPUNGUZE UJUAJI NA KUTUMIKA KAMA LESO
ww ni zao la elimu ya ccmu , ukirudi mashulen hawatilii mkazo somo la uraia ili tupate watu weny akil km zakoMimi na wajuaji wengine wengi ukiwemo na wewe
Hamna hatari, wala usiogope, fanya siasa usifanye fitna. Sisi raia tu tunaweza kukuzima dakika moja bila mtu yyte kukufahamu. Iwejee serikali ishindwe..hii ni hatari
Kwa njisi serikali ilivyo kimya kwenye hili hakuna Imani tenaBado kuna mtu anaimani?
unasema hata raisi hafahamu haya mambo... maana yake anafaa au hafai mkuu?Hamna hatari, wala usiogope, fanya siasa usifanye fitna. Sisi raia tu tunaweza kukuzima dakika moja bila mtu yyte kukufahamu. Iwejee serikali ishindwe..
Nawaeleza. Hawa watu wakipotea wanapotea kupitia watu wenye roho mbaya.
Hata raisi hafahamu haya mambo.
Msimtie dhambi. Hiki chuma wenyewe kwa wenyewe ndio vilemba.
Vijana kwa wazee tuache fitna haswa kwa watu wanaopendwa. Wengi tu washauliwa na kuzikwa Tanzania hii na hatujui.