Hivi Deusdedith Soka ndio amezimwa kama alivyozimwa Ben Saanane?

Cha kujiuliza ni kwamba soka,Ben saanane walikua wamebeba Siri Gani kubwa Hadi wapotee bila KESI ya mahakamani!!!?

Yaani kwanini washughulikiwe kimafia vile bila Sheria kuchukua mkondo wake!!?he kosa lao ni la kihaini!!?au kuhatarisha usalama was jamhuri!!?

Haya ni baadhi ya maswali ya wanajamhuri huwa tunajiuliza pia!
 
Ni kama Sativa tu ambaye alisalimika kwa muujiza, maana walimpiga risasi akazimia halafu wakamtelekeza ndani ya msitu wenye wanyama wakali kama fisi, simba, chui, mamba, nk..

Waliohusika kwa Sativa kuna uwezekano wanafahamu kilichomtokea Soka
 
Back
Top Bottom