Hivi CCM hakuna uchaguzi wa mwenyekiti?

Kwamujibu wa katiba ya ccm mwenyekiti wa chama anatakiwa kuchaguliwa mwaka 2017 lkn kinachofanyika sasaivi ni kumkabidhi Chama Rais aliepo madarakani Kwakua Rais ndiyo msimamizi wa utekelezaji wa Ilani hivyo wanaona niustaarabu apewe Kabisa chama lkn uchaguzi Mkuu wa viongozi wote wa chama utakua mwakani 2017
 
Tanzania ya wanyonge itakuwa ya viwanda ..na viwanda hivyo vitazalisha majipu ..na majipu yakikamuliwa watapewa wanyonge wayanywe...teh teh teh ..
 
Back
Top Bottom