Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,132
- 6,098
Anakuja Nyanzaga Gold Mine, lazima tumpumulie DarFacts ni hiziView attachment 2463779
Anakuja Nyanzaga Gold Mine, lazima tumpumulie DarFacts ni hiziView attachment 2463779
Kama upi huoMatokeo ya sensa yenyewe yana walakini, Mji una idadi kubwa ya watu lakini hauna majengo, na mji wenye idadi ndogo ya watu una majengo mengi kuliko mji wenye idadi kubwa ya watu. Ina maaana hao watu wanaishi kwenye miti????
Ndo hivo watu wa chuga ubishi mwingi usionafaidaHii inamaliza kila kitu, tofauti na dar hamna sehemu nyingine kama hii TanzaniaView attachment 2522677
Hyo quality umepima Kwa kutumia kipimo Gani .maana mi na elimu yangu ndogo najua quality Huwa haipimwi kinachopimwa ni quantity...Arusha man ukiwa na noti unakula maisha kama upo US.. hali ya hewa safi. Mkuu hujataja Bar ya picnic, ambayo mfano wake hakuna.
Mwanza ni kubwa na ina watu wengi. Lakin kwa quality hamna. Arusha quality zake zipo juu kwasababu ya wazungu wengi
Hali ya hewa gani safi? Huu mwaka una jua balaaArusha man ukiwa na noti unakula maisha kama upo US.. hali ya hewa safi. Mkuu hujataja Bar ya picnic, ambayo mfano wake hakuna.
Mwanza ni kubwa na ina watu wengi. Lakin kwa quality hamna. Arusha quality zake zipo juu kwasababu ya wazungu wengi
Hyo quality umepima Kwa kutumia kipimo Gani .maana mi na elimu yangu ndogo najua quality Huwa haipimwi kinachopimwa ni quantity......sa sijui umetumtumia metric zipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Usichekeshe et quality uongelee Arusha hivi unajielewa vile unaongea angalia fresh air kutoka ziwan ewee beach nyingi na kumbi za starehe zipo kibao stand zimechangamka hawalali raia wanapiga biashara,Arusha man ukiwa na noti unakula maisha kama upo US.. hali ya hewa safi. Mkuu hujataja Bar ya picnic, ambayo mfano wake hakuna.
Mwanza ni kubwa na ina watu wengi. Lakin kwa quality hamna. Arusha quality zake zipo juu kwasababu ya wazungu wengi
Dogo kuna quantitative research na Qualitative researchHyo quality umepima Kwa kutumia kipimo Gani .maana mi na elimu yangu ndogo najua quality Huwa haipimwi kinachopimwa ni quantity......sa sijui umetumtumia metric zipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Quality ndo hiyo inawafanya wazungu badala ya kuja mwanza japo ni karibu na Serengeti, wanakuja ArushaUsichekeshe et quality uongelee Arusha hivi unajielewa vile unaongea angalia fresh air kutoka ziwan ewee beach nyingi na kumbi za starehe zipo kibao stand zimechangamka hawalali raia wanapiga biashara,
Qualitative data ,,Huwa ni imagination na observation results.......Dogo kuna quantitative research na Qualitative research
Safi sana leo ni mwendo wa spana tu nyuzi zoteQualitative data ,,Huwa ni imagination na observation results.......
Quality tunaangalia vifuatavyo.
Huduma za jamii
AFYA -hospital kubwa ya rufaa , sekoteoure,agha Khan, tanzanite,mwanza hospital na kamanga hospital.
ELIMU -university na institute kama SAUT,TIA,CUHAS,IRDP,DIT,IFM,CBE,na PWRI.
MAJI-mwauwasa
UMEME-90 mjini ,70 vijijini
MAWASILIANO -redio local 15 , national redio 2,Tv 2,fibre internet,all network providers.
SHOPPING CENTERS-buzuruga plaza ,rock city mall,u turn grocery store,Lumumba street.
AIRBNB -capripoint villas,isamilo ,nyasaka , bwiru apartments ,ilemela apartments.
PUBLIC INFRASTRUCTURE -Two bus terminals, international airport, international shipyard,dual carriage km 10 ,three lanes 8 km ,two pedestrian flyovers.
VEHICLE SERVICE AND SALES CENTER-127 Petro stations,Tata sales branch , Toyota sales branch ,more than 10 sales yards
BANKING and FINANCIAL SERVICE- Kuna benki Zaid ya 25 pamoja na tawi la benki kuu .. kampuni za bima zaidi 15 ,ATMS Kila mahala .
RECREATION CENTERS
City Park, kamanga beach,rock beach ,Ely's beach, igombe beach ,malaika beach resort,jembe beach,n.k
HOTEL 3*+ -kuna zaidi ya hotel 10 zenye hadhi ya kimataifa.
Hii ndio quality sasa ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh kaka umefafanua kisomi hasa adi mm nawaza umewezaje kufanya Vizuri namna hii hakika unajibu kisomi ila wavuta bangi wa Arusha ni ngumu kuelewa maana ndo walivo kwanza kushindanisha Jiji la MWANZA na ARUSHA ni kushusha hadhi ya Jiji la MWANZA maana Kila kitu Kiko waziQualitative data ,,Huwa ni imagination na observation results.......
Quality tunaangalia vifuatavyo.
Huduma za jamii
AFYA -hospital kubwa ya rufaa , sekoteoure,agha Khan, tanzanite,mwanza hospital na kamanga hospital.
ELIMU -university na institute kama SAUT,TIA,CUHAS,IRDP,DIT,IFM,CBE,na PWRI.
MAJI-mwauwasa
UMEME-90 mjini ,70 vijijini
MAWASILIANO -redio local 15 , national redio 2,Tv 2,fibre internet,all network providers.
SHOPPING CENTERS-buzuruga plaza ,rock city mall,u turn grocery store,Lumumba street.
AIRBNB -capripoint villas,isamilo ,nyasaka , bwiru apartments ,ilemela apartments.
PUBLIC INFRASTRUCTURE -Two bus terminals, international airport, international shipyard,dual carriage km 10 ,three lanes 8 km ,two pedestrian flyovers.
VEHICLE SERVICE AND SALES CENTER-127 Petro stations,Tata sales branch , Toyota sales branch ,more than 10 sales yards
BANKING and FINANCIAL SERVICE- Kuna benki Zaid ya 25 pamoja na tawi la benki kuu .. kampuni za bima zaidi 15 ,ATMS Kila mahala .
RECREATION CENTERS
City Park, kamanga beach,rock beach ,Ely's beach, igombe beach ,malaika beach resort,jembe beach,n.k
HOTEL 3*+ -kuna zaidi ya hotel 10 zenye hadhi ya kimataifa.
Hii ndio quality sasa ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Matokeo ya sensa yameua Kila kitu .Uzi umeamua kufa wenyewe wenyewe rasmi.
Mwanza ni Jiji siyo Kijiji Cha kikabila kama ArushaUkweli mnujua Moyoni kuwa watu wa kaskazini ndio madoni huko Mwanza na Tanzania kwa ujumla, ona eti tajiri wenu Wasukuma ni Mhe. Msukuma
We unayejua kiswahili radhufi ❌ ndiyo mdudu gani kenge wewe!!(Lafudhi ✔️)Mm huja kununua madin huko machimboni na kuja uza arusha ,nimefanikiwa kutokana na mwanza kutosomesha watoto ukubwani wamekuwa watumwa wangu nawalalia being mbaya na rafudhi yao ya kutoju kiswahili
Ni viwango gani mkuu mm kuongea kisahihi hizo level zakoWe unayejua kiswahili radhufi ❌ ndiyo mdudu gani kenge wewe!!(Lafudhi ✔️)
Wanatanguliza bangi badala ya kutanguliza akili, kuna watu wasiojua kiswahili hapa Tanzania kama watu wa Arusha.We unayejua kiswahili radhufi ❌ ndiyo mdudu gani kenge wewe!!(Lafudhi ✔️)