Historia inaonyesha Watutsi/wahima kama wakoloni weusi toka eneo la Ethiopia dhidi ya mbari ya Wabantu.

kaputula

Senior Member
Mar 29, 2012
112
134
Historia inaonyesha watutsi kama wafugaji wenye uhodari wa kupigana vita wa mbari ya kihima. Watu hawa karne kadhaa kabla ya ukoloni wa kizungu walishuka na mifugo yao toka kaskazini wakifuata mto Nile. Wana historia wengine waliwatambua kama Cushite. Sura na maumbo yao ni zile za waoromo wa Ethiopia.
Watu hao walipofika eneo la maziwa makuu walikua na jadi ya kujipachika ukuu kwa hila au kwa kukubalika kuongoza kwenye jamii za wabantu kutokana na kua wakati wote wana mifugo mingi. Pia walitaka maeneo kwa ajili ya ufugaji. Watu hao walidharau kilimo na wakulima japo walihitajiana na wakulima maana wakulima walitaka nyama na maziwa na wao walitaka mazao ya shambani. Wahima pia walikua na jadi ya kutotaka kuoana na wabantu kwa hivyo kuhifadhi asili yao ya kimbari. Watu warefu wembamba uso wa upanga.
Ukoloni wa kibeljiji waliwatumia Watutsi kwenye utawala maana waliwakuta wakiwa ndio machifu na watawala dhidi ya mbari ya Wabantu.
Historia pia inaonyesha katika karne nyingi ya ujio wa watutsi mbari ya kihima walipoteza lugha yao na kuchukua lugha za kibantu wakichanganya baadhi ya maneno kiasi ya lugha yao na utamaduni wa kibantu.
Kwa hivyo hivi leo wakati Kagame akiilaumu ubeljiji kwa kuvuruga tawala za jadi ya wanyarwanda inafaa kua na uelewa sahihi ana maana gani. Wao watutsi wanachoona ndio haki yao ni kurejeshewa zile tawala za watutsi kutawala wabantu. Watutsi na wote mbari ya kihima kwenye familia zao wamekua wanaridhishana karne na karne dhana kwamba wao ndio watawala na kwamba wabantu au wahutu kama wao wanavyowaita mbari ya wabantu hawastahili kuongoza. Hiki ndicho kinachosababisha shida kubwa eneo la maziwa makuu. Watutsi kwa sasa wako tayari kufanya vita dhidi ya wabantu ama waachie utawala au waendelee kusalimu amri kuongozwa na watutsi kama ilivyo nchini Rwanda na Uganda ambapo Watutsi chini ya Kagame na wanyankole mbari ya kihima chini ya Museveni wanaongoza nchi zao kwa kuwashirikisha mbari ya kihima peke yao kwenye utawala licha ya wao ni wachache kiasi cha asilimia kama 7 - 15 tu ya raia wa nchi zao.
 
Back
Top Bottom