love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,050
Uamsho wapo kimya nw..Ila tuligawana fito
Ndege tukazuia wengine mpaka mizigo yetu wakabaki nayo
Hiyo ilikuwa ni funzo ingawa hatujifunzi na kuweka mambo hadharani kuwa likitokea la kutokea itakuwaje
Tatizo kila anaengia Wimbo ni ule ule “ Ntaulinda muungano”
Hapo inaonyesha hautakufa
Lakini tunajua Yemen waliachana mara mbili na kurudiana na kuachana
Mapenzi haya
Ngoja atoke mzenji wao.