Kuna taarifa kuwa kuna watu wamekamatwa kuhusika na uibaji wa mafuta ya ndege, wakiwamo askari wawili. Hizo ndege ni mali ya ATCL, huu ni uhujumu uchumi na ni hatari sana kwa usalama wa vyombo hivi, kwa anae jua, hivi hayo mafuta yana kazi gani huko mitaani