Hili la mchanga ni pigo kubwa sana kwa upinzani

Wakati mkiingia mikataba ya kitapeli na wazungu mliwashirikisha wapinzani, baada ya wezi kudhulumiana wenyewe kwa wenyewe ndiyo mnatafuta sympathy kwa wananchi.

Nawakumbusha tu mikataba mliyoingia usiku usiku mingine hotelini London na miswada iliyopitishwa usiku kwa hati ya dharura na wabunge wa CCM ndiye mchawi wenu.

Msiwaingize wapinzani, kazi yetu ni kuchochea kuni, leo kalianzisha Chenge hatujui who is next labda Mkapa naye atatoa tamko lake ili moto ukolee zaidi.
 
  • Thanks
Reactions: Gut
Mbona na waliotufikisha hapa wengine mmewakumbatia na kuwasafisha sasa hivi wanaishi kama malaika. Kweli wajinga ndio waliwao
Wewe ndio mjinga.Badala ya kujadili issue unadiscuss watu.
 
Pigo kwa upinzani upi? Acheni kuleta siasa za kipuuzi kwenye mambo ya kitaifa. Kama unalipwa kwa kutengeneza propaganda uchwara na upuuzwe.
 
Mambo ya kutetea maslai ya taifa watuwengine wanaingiza Siasa Wadanganyeni haohao. Lisu ni nyoka anatakiwa afanyiwe kitufurani hivi
 
mara zote wapinzani wakitaka kukosoa jambo watakuambia kuwa approaches zinazotumika ni mbaya ila hawajawahi kuja na right approaches hata mara moja.

kupinga findings za ripoti ni kujipinga wenyewe.

wapinzani walikuwa wanadai tunaibiwa. ripoti imeconfirm hilo. sasa tatizo hapo likowapi?

kuunda tume pia ni wrong approach?
Tume lazima iwe huru, msikilize tundu Lissu amesema vyema kabisa.

Mawazo ya wapinzani yanasikilizwa? Kwanza ni maadui wa rais na ssm kwa ujumla, afu ujue siasa lazima rafu ndogo ndogo ukikichanganya ziwepo maana ni kama mchezo wa soka kosa moja unapigwa goli.

Kiukweli rais anachemka issues nyingi sana afu apunguze double standards. Inaumiza kichwa kwa mtu mwenye complete understanding unaacha mzizi una pambana na majani.

Reminding you mimi ssm.
 
mara zote wapinzani wakitaka kukosoa jambo watakuambia kuwa approaches zinazotumika ni mbaya ila hawajawahi kuja na right approaches hata mara moja.

kupinga findings za ripoti ni kujipinga wenyewe.

wapinzani walikuwa wanadai tunaibiwa. ripoti imeconfirm hilo. sasa tatizo hapo likowapi?

kuunda tume pia ni wrong approach?
Wewe hujielewi.. Ni Mara ngapi wapinzani wanatoa approaches za deal na issues mbali mbali through comments au hotuba za mawaziri vivuli? Kwa Hilo mmeamsha dude, tulieni Tu mhangaike nalo... Nyinyi Si mnawanasheria wenu kina Chenge na Mwakyembe? Watawasaidia Sana.. Endeleeni Tu kupambana na upinzani.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Tume lazima iwe huru, msikilize tundu Lissu amesema vyema kabisa.

Mawazo ya wapinzani yanasikilizwa? Kwanza ni maadui wa rais na ssm kwa ujumla, afu ujue siasa lazima rafu ndogo ndogo ukikichanganya ziwepo maana ni kama mchezo wa soka kosa moja unapigwa goli.

Kiukweli rais anachemka issues nyingi sana afu apunguze double standards. Inaumiza kichwa kwa mtu mwenye complete understanding unaueacha mzizi una pambana na majani.

Reyminding you mimi ssm.
ili ujue kuwa wapinzani wapo kwenye popularity contest lisu kaandika waraka mreefu akidai kuwa ni yeye ndiye alianza kupambana na issue za madini. hapo utaona analilia recognition; hajui kwamba wananchi wanataka utatuzi wa changamoto zao na sio kujali nani alikuwa wakwanza kufanya nini?
 
Hatua aliyoichukua Rais juu ya swala hili la Mchanga wa dhahabu ni kitendo kilichoonesha umakini na nia ya dhati ya serikali kusimamia rasilimali zetu hivyo kuongeza imani waliyokuwa nayo wananchi juu ya awamu hii ya uongozi.

Wakati hilo likitokea kitendo hicho cha rais ni moja ya misumari muhimu itakayosiliba kabisa matumaini ya wapinzani.

Kauli za baadhi ya wapinzani katika kukosoa kitendo hiki cha kizalendo ni matokeo na hasira za kupunguziwa hoja za kuinenea mabaya serikali.

Ni jambo lililowazi kuwa mambo hayakuwa sawa huko migodini wengi walilalamika hilo limedhihirishwa na matokeo ya kamati ya wataalam aliyoiunda Rais.

Ila baada ya juhudi hizo za wazi kuonesha mwanga wa utatuzi wa malalamiko yetu ya muda mrefu; wale wale waliokuwa kati ya walalamishi wameanza kugeuka kauli zao na kuanza kutuambia kwamba kilichofanyika ni makosa eti tutapata hasara kama Taifa.

Kauli hizo na nyingine nyingi toka upinzani zinatufanya baadhi yetu tuanze kujiuliza lengo halisi la upinzani hapa nchini ni nini?

Je malengo ya upinzani ni kuibua mabaya tu ili kupata umaarufu?

Je; serikali inatakiwa kukosea tu kila mara ili ikosolewe na upinzani?

Je; serikali haina haki ya kufanya mambo sahihi kwa watu wake?

Je; ni upinzani pekee ndio wenye haki ya kufanya mambo sahihi kwa wananchi.

Je; ni lazima upinzani ukosoe hata yale mazuri ya serikali?

Mwisho wa yote fikra zinamuongoza mtu kuona kama jambo hili jema limepunguza kete za upinzani na upinzani hawajalifurahia kwakua wanakosa agenda za kwenda nazo kwa wananchi.

Na fikra hizo hizo zinakutuma kuona kwamba upinzani wamekosa uzalendo na zaidi sana wanawaza umaarufu wao.
Ndio ukomo wa uwezo wako ktk kufikiri na kupambanua mambo? Familia yako wana kazi ya ziada juu yako
 
ili ujue kuwa wapinzani wapo kwenye popularity contest lisu kaandika waraka mreefu akidai kuwa ni yeye ndiye alianza kupambana na issue za madini. hapo utaona analilia recognition; hajui kwamba wananchi wanataka utatuzi wa changamoto zao na sio kujali nani alikuwa wakwanza kufanya nini?
Siyo kwamba analilia he deserve to recognized..! Ili twende sawa ssm tunatakiwa kuwa wakweli tukichemka tukubali kufukia fukia makaburi hakuwezi kutuacha bure..!

Kuna ujinga wa kujifanya atuoni baadhi ya mambo kwa target ya kutafuta kuwashinda wapinzani ila ni upuuzi fulani.
 
mara zote wapinzani wakitaka kukosoa jambo watakuambia kuwa approaches zinazotumika ni mbaya ila hawajawahi kuja na right approaches hata mara moja.

kupinga findings za ripoti ni kujipinga wenyewe.

wapinzani walikuwa wanadai tunaibiwa. ripoti imeconfirm hilo. sasa tatizo hapo likowapi?

kuunda tume pia ni wrong approach?

Mkuu stroke;
Naona ulikuwa umepigwa semi stroke lakini safari hii umepigwa stroke yenyewe. Tulia mwanangu. Hiyo ndio stroke.
Unasema ati wapinzani hawajawahi kuja na right approach?? Upo Tz au umehamia ughaibuni kubeba mabox??
Stroke, sikio la kufa halisikii dawa. Kila mara, upinzani ukitoa ushauri mnautupa mbali na kuuona kuwa ni upuuzi. Si unaona hata weye ulivyoiandika hii thread yako?? Unaanza kwa kuuponda upinzani mwisho ndio unaleta wazo kuwa ccm ndo waliokuwa wa kwanza kuyapinga mamikataba haya fake??
Tundu lisu hajapinga hatua yeyote ya kuwabana hawa wawekezaji. Kwa lugha rahisi saana kama ba be bi bo bu ni hivi. Amesema tusikurupuke, bali tutulie, tuchunguze upya mikataba tuliyokwisha weka saini, tuone kama lipo neno tunaloweza kulitumia ili kuwabana.
Mfano; Je stroke wajua kuwa sisi hatuna mamlaka na huo mchanga tuliouzuia usipelekwe kwao?? Unalijua hilo?? Unajua kuwa tuliwaruhusu wajichukulie chochote watakachokikuta huko??
Sasa stroke, ukiubeza upinzani, kubali basi kuwa ccm tulikosea vibaya kuweka saini mikataba fake.
 
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza, ongea kishabiki mandazi lakini kuna siku utaficha uso wako nyuma ya ID feki mambo haya ya mchanga yatakapoanza kung'ata watu waanze kukimbiana! Hii ngoma ni nzito kuliko ubongo wako wa kayumba training unavyoweza kuhimili!!! Mambo ya mikataba ya kimataifa ni noma, unakumbuka sakata la samaki wa magufuli na mitambo ya Dowans iliishia wapi?! Acha ukasuku, fungua ubongo!
Kamsikilize sana Jerry Muro ndiyo uje uandike hapa. magufuli aliangushwa na wakubwa zake hakupewa ushirikiano. Kama unadhani na sasa itakua hivyo hivyo unajidanganya.
 
mara zote wapinzani wakitaka kukosoa jambo watakuambia kuwa approaches zinazotumika ni mbaya ila hawajawahi kuja na right approaches hata mara moja.

kupinga findings za ripoti ni kujipinga wenyewe.

wapinzani walikuwa wanadai tunaibiwa. ripoti imeconfirm hilo. sasa tatizo hapo likowapi?

kuunda tume pia ni wrong approach?
Hawawezi kukuelewa kaka wanasubiri Mbowe aje na maelezo ni mtu pekee kashika akili za jamaa zetu wengi hapa. Na ninachompendea Mbowe japo shule yake si kama ya Lissu na Zitto ila ana akili kubwa ya maisha kumshinda hata Magufuli, kaka kimya kusubiri report ya pili. Hawa mbayuwayu wanapiga kelele wakati JPM hatachukua hatua yeyote zaidi ya kuzuia mchanga mpaka kieleweke na hata CEO wa ACACIA kakiri kuna uchafu lakini jamaa zetu hawataki kuyaona yale maandiko maana hayapingi kama wao.
 
Kamsikilize sana Jerry Muro ndiyo uje uandike hapa. magufuli aliangushwa na wakubwa zake hakupewa ushirikiano. Kama unadhani na sasa itakua hivyo hivyo unajidanganya.
Umedandia treni kwa mbele! Hili sakata halihitaji ushabiki wala jazba, ni swala la mkataba wa kimataifa unaolindwa chini ya itifaki ya MIGA, hakuna swala la uzalendo wala itikadi, ni mkataba unasemaje na sheria inatafsiriwa vipi period!
 
Hapa kazi tu. Mungu azidi kukuongoza Rais wetu. Nia ya dhati kwa wananchi wako tunaiona.
 
kuna wanasiasa hawa wawili; ZITTO na LISSU, wanatumia vibaya sana umaarufu wao ktk siasa. hawana uzalendo kwa taifa hata chembe. nawahurumia ambao bado wanawaamini hawa jamaa.
Usilazimishe ziwekwe sifa za kielimu ili kujiunga hapa JF!
 
As pigo kwa upinzani ni kipi hapo!je ni lini mpinzani aliwahi kuongoza nchi! Ni link upinzani ulishawahi kutoa spika Wa binge hapa kwetu!mambo yote yanayofanyika ni ccm +ccm !+watoto Wa ccm akina bashite hata huyu akiopo mnamsifia sana mtamgeuka atakapomaliza uongozi wake,kwa jakaya ilikuwa hivyo hivyo sifa nyingi lakini Leo mnamkandia,sana ccm acheni unafiki,haya mambo cku zote unaambiwa Bia ya safari imebadilishwa aina nyingi za chupa ,lakini chupa zote hizo Bia itabaki kuwa ni safari tu!hebu tuwekeeni mikataba Wa mafuta na gesi uko sawa?haya yote mda ukifika Wa kashfa ya gesi mtaanza tena kurukana,yetu macho!
 
Back
Top Bottom