Hili jina la Tigo kuwa Yas limenishangaza kidogo

DolphinT

JF-Expert Member
Mar 9, 2016
1,764
2,663
The term "Yass" (or "Yaaas") is a slang expression used to convey excitement, approval, or strong agreement. It is often drawn out to emphasize enthusiasm, such as "Yaaas, queen!"

Origin:

The term gained popularity within LGBTQ+ (
L - Wasagaji (Lesbian): Wanawake wanaovutiwa kimapenzi au kihisia na wanawake wengine.

G - Mashoga (Gay): Wanaume wanaovutiwa kimapenzi au kihisia na wanaume wenzao.

B - Wenye mapenzi ya jinsia zote (Bisexual): Watu wanaovutiwa na jinsia zote mbili, yaani wanaume na wanawake.

T - Wanaobadili jinsia (Transgender): Watu ambao utambulisho wao wa kijinsia ni tofauti na jinsia waliyokabidhiwa wakati wa kuzaliwa.

Q - Walio na maswali kuhusu utambulisho au mwelekeo wao wa kijinsia (Queer/Questioning): Wanaojitambulisha nje ya viwango vya kawaida vya kijinsia na mapenzi.

+ - Inawakilisha watu wengine wa jamii hii, kama vile wasio na mwelekeo wa mapenzi (asexual), na makundi mengine yote yanayojitambulisha nje ya mifumo ya kijinsia ya kawaida.)
, particularly in drag culture, and was further popularized by social media and pop culture.

It is associated with a playful, exaggerated tone and is often used in contexts celebrating empowerment, confidence, or success.

Example Usage:

Friend 1: "I just aced my exam!"
Friend 2: "Yass! Go you!"

Kuna Nini kinaendelea katika ulimwengu mwingine ? Au mambo Yako kama kawaida tu na tache kuwaza vingine? Au ni sehemu ya kufanya lugha au jambo lizoeleke kama utaratibu wa maisha wa Kila siku na tusione ni ajabu?
 
Mobitel-Buzz-Tigo-Yas

"Ukikuta Buzz ipo kwenye voice mail wanajua namba gani watanipa celtel" - Ngwair

"Ni Buzz 2 Double 7 ,six ,nine 0 piga popote uliza Solo" - Solothang

"Ni buzz six six double zero utanipata - Dully Sykes.
 
Ukiwa unamaanisha?
 
soggy dog kwenye 'story' ametaja buzz ngapi ngpapi vile
 
Akipiga mara hapokei..na akipokea wala haongei...au ile ilimfanya awe bubu..maana najiuliza nakosa majibu
 
The term "Yass" (or "Yaaas") is a slang expression used to convey excitement, approval, or strong agreement. It is often drawn out to emphasize enthusiasm, such as "Yaaas, queen!"

Origin:

The term gained popularity within LGBTQ+ (
L - Wasagaji (Lesbian): Wanawake wanaovutiwa kimapenzi au kihisia na wanawake wengine.

G - Mashoga (Gay): Wanaume wanaovutiwa kimapenzi au kihisia na wanaume wenzao.

B - Wenye mapenzi ya jinsia zote (Bisexual): Watu wanaovutiwa na jinsia zote mbili, yaani wanaume na wanawake.

T - Wanaobadili jinsia (Transgender): Watu ambao utambulisho wao wa kijinsia ni tofauti na jinsia waliyokabidhiwa wakati wa kuzaliwa.

Q - Walio na maswali kuhusu utambulisho au mwelekeo wao wa kijinsia (Queer/Questioning): Wanaojitambulisha nje ya viwango vya kawaida vya kijinsia na mapenzi.

+ - Inawakilisha watu wengine wa jamii hii, kama vile wasio na mwelekeo wa mapenzi (asexual), na makundi mengine yote yanayojitambulisha nje ya mifumo ya kijinsia ya kawaida.)
, particularly in drag culture, and was further popularized by social media and pop culture.

It is associated with a playful, exaggerated tone and is often used in contexts celebrating empowerment, confidence, or success.

Example Usage:

Friend 1: "I just aced my exam!"
Friend 2: "Yass! Go you!"

Kuna Nini kinaendelea katika ulimwengu mwingine ? Au mambo Yako kama kawaida tu na tache kuwaza vingine? Au ni sehemu ya kufanya lugha au jambo lizoeleke kama utaratibu wa maisha wa Kila siku na tusione ni ajabu?
yas-queen.gif
 
Back
Top Bottom