Huyu jamaa ndio mtu mwenye ukwasi mkubwa kwa mkoa wa shinyanga. Anamiliki mgodi wa almas na dhahabu, na ndio mwekezaji mwenye ardhi kubwa katika mgodi wa Mwadui. Hilal ni msukuma mwenye asili ya kiarabu (Oman) ni tajiri toka enzi za Mwalimu. Inasemekana katika top 50 ya mabilionea wa Tz anayo namba. Ndio mfadhili mkubwa wa chama cha mapinduzi mkoa wa Shinyanga. sifa nyingine huyu jamaa ni mpole na hapendi kuonekana.