Hilal Phantom,, Bilionea la Shinyanga na Tz

T999ZZZ

Senior Member
Feb 21, 2013
107
33
Huyu jamaa ndio mtu mwenye ukwasi mkubwa kwa mkoa wa shinyanga. Anamiliki mgodi wa almas na dhahabu, na ndio mwekezaji mwenye ardhi kubwa katika mgodi wa Mwadui. Hilal ni msukuma mwenye asili ya kiarabu (Oman) ni tajiri toka enzi za Mwalimu. Inasemekana katika top 50 ya mabilionea wa Tz anayo namba. Ndio mfadhili mkubwa wa chama cha mapinduzi mkoa wa Shinyanga. sifa nyingine huyu jamaa ni mpole na hapendi kuonekana.
 
Naona huu ni mwezi wa watu kushindanisha Mabilionea wa Kitanzania, walianza wa Arusha, wakaja wa Dar es Salaam, jana nikawaona wa Tanga na hatimaye sasa namuona huyu wa Shinyanga.
Swali nawauliza, how much have they given back to the society?
 
Ukiona mtu hapendi kuonekana ujue ni mwizi
 
Wafadhili wote wa CCM ni akwepa kodi wazuri sana na cha juu ndio wanaipa kampani CCM, anaebisha abishe tu, ukileta za kuleta nawataja baadhi yao na hutaamini but bnaweza kuklueleza hata namna wanavyokwepa kodi hizo, Mzee sabodo yeye anaifadhalili CDM kwasababu analipa Kodi zote, biashara zake nyingi ni halali
 
Wafuatao ni wafadhili wa ccm; Reginald mengi, Mohamed Enterprises, Manji, Kinana ,Lowassa ; hebu tueleze jinsi wanavyolihujumu Taifa kwa kutokulipa kodi kama ulivyoahidi!!
 
Sasa si muombe tu muanzishiwe "Billionaires Forum" tu muendelee kuwasifia kila mmoja na wa mkoa wao
 
Naona huu ni mwezi wa watu kushindanisha Mabilionea wa Kitanzania, walianza wa Arusha, wakaja wa Dar es Salaam, jana nikawaona wa Tanga na hatimaye sasa namuona huyu wa Shinyanga.
Swali nawauliza, how much have they given back to the society?
Kuna uzi uko posted unaongelea matajiri wa mkoa wa mara.
 
Huyu jamaa ndio mtu mwenye ukwasi mkubwa kwa mkoa wa shinyanga. Anamiliki mgodi wa almas na dhahabu, na ndio mwekezaji mwenye ardhi kubwa katika mgodi wa Mwadui. Hilal ni msukuma mwenye asili ya kiarabu (Oman) ni tajiri toka enzi za Mwalimu. Inasemekana katika top 50 ya mabilionea wa Tz anayo namba. Ndio mfadhili mkubwa wa chama cha mapinduzi mkoa wa Shinyanga. sifa nyingine huyu jamaa ni mpole na hapendi kuonekana.

Hapo kwenye nyekundu siyo kweli. Mgodi wa Mwadui unamilikiwa kwa ubia kati ya Serikali ya Tanzania (25%) na kampuni ya Petra Diamonds.
 
huyu jamaa ndio mtu mwenye ukwasi mkubwa kwa mkoa wa shinyanga. Anamiliki mgodi wa almas na dhahabu, na ndio mwekezaji mwenye ardhi kubwa katika mgodi wa mwadui. Hilal ni msukuma mwenye asili ya kiarabu (oman) ni tajiri toka enzi za mwalimu. Inasemekana katika top 50 ya mabilionea wa tz anayo namba. Ndio mfadhili mkubwa wa chama cha mapinduzi mkoa wa shinyanga. Sifa nyingine huyu jamaa ni mpole na hapendi kuonekana.
kweli tunatofautiana sana hii medulla oblongata
 
Huyu jamaa hela anayo,ana mali kadhaa Kahama na Shinyanga,anamiliki vituo kadhaa vya mafuta kanda ya ziwa na ndiye mmiliki wa ile shule aliifungua raisi na kuisifia kuwa mfano wa kuigwa kwa kukuza elimu ya mkoa wa Shinyanga,shule yake inaitwa Savanah Plain,ni english medium toka chekechea,nadhani ni the most expensive kwa Tanzania na vilevile the best one in Tanzania,ada yake in millioni 8 kwa mwaka kwa chekechea na 11 kwa primary,waalimu asilimia 80 ni wazungu na wanafunzi hivyohivyo,wanafunzi toka mkoa wa Shinyanga katika shule hiyo hawazidi 5.
 
Ile kasumba ya kuabudu mpaka inzi wa kizungu kuna mambwiga wengine bado imewabana!
 
Badala ya kututajia majina ya hao mabilionea sijui mashilingionea au madolaonea mtutajie jina la kila mmoja wao, utajiri alionao na alitumia ngazi ipi kikwea hapo alipofikia ili watanzania tujifunze kwao! tunaweza kusoma habari za akina Bill Gates na mabilionea wengine wa mataifa mengine katika mitandao lakini habari za hao mabilionea wa TZ hazipatikani tukizi-google. Ila tukifuatilia sana tunapata tetesi kuwa walianza kwa kuua tembo wetu na kuuza pembe za ndovu, na njia zingine chafu chafu kama kushirikiana na vigogo wa serikali ya CCM katika kuanzisha miradi ya kifisadi na kukwepa kodi! shame on their faces!
halafu mashilingionea wa TZ siwapendi maana wanajikomba kwa CCM ili wasiwekewe zengwe kwenye biashara zao, wanatoa fedha kwa chama hicho kufadhili chaguzi zinazowaingia mafisadi madarakani na hawatumii mapesa yao kuanzisha foundations za kusaidia watanzania na wananchi waishio katika mazingira magumu!
 
Wafadhili wote wa CCM ni akwepa kodi wazuri sana na cha juu ndio wanaipa kampani CCM, anaebisha abishe tu, ukileta za kuleta nawataja baadhi yao na hutaamini but bnaweza kuklueleza hata namna wanavyokwepa kodi hizo, Mzee sabodo yeye anaifadhalili CDM kwasababu analipa Kodi zote, biashara zake nyingi ni halali

Mkuu unalosema ni kweli hata mimi nina ushahidi lakini sio wote kabisa,wapo ambao kiukweli ni waungwana wanafanya kazi zao kwa utiifu na ni nina majina yao sema tu wamezoea kutafuta umaarufu akisikia kwamba amechangia labda mkutno mkuu wa CCM Dodoma kwa shilingi milioni 400 ndio furaha yake hiyo lakini sio kwamba wote ni wachafu kiihivyo ila asilimia 85 ni wachafu.

Na miongoni mwao ni huyu Hilal Phantom,ana matatizo mengi sana,na matatizo yake naweza hata kuyataja humu kama kuna mtu anabisha,ni problem sana huyu jamaa na hasa maeneo ya Maganzo.tuliwahi kwenda huko na timu kutoka ofisi fulani kubwa kuliko zote hapa nchini,tukafanya uakaguzi wa baadhi ya mambo tulibaini uchafu mkubwa lakini pia yuko karibu sana na mkubwa mmoja hapa nchini,kwa hiyo wakati mwingine JF inasaidia sana tunapata mahali pa kusemea.
 
Wabongo bana wasione mtu amefanikiwa wataanza kumchafua na maneno yao!

Hayo maneno yanawatoka midomoni kwakuwa umasikini umewakaba, jitahidini na nyie mjikwamue kwenye hiyo hali ili msiwe na roho za kwanini.

Nendeni mkaulize wakina bakhresa walipotokea muoine kama walikuwa tofauti na wewe na mimi, pengine ulichonacho sasa yeye hakuwa nacho back then.
 
Back
Top Bottom