Hiki kigari ni aina gani?

Hiki kigar nakijua...dar kipo sikosei Mara nying huwa Luna jamaa mmoja HIV hupita nacho mnazi mmoja...soon Picha nitakutumia
 
Kuna kigari nakiona ona sana barabarani
ni pick up kina tairi la spare mbele
ni kama ni cha mtu mmoja tu anakiendesha kilivyo...
kidogo sana...

kuna anaejua ni kigari gani?
brand ipi?kikoje details?
Kwa uhakika ulioiona ni suzuki carry but body lake ndio linafanana na hio hapo juu,

Pia zipo pale lumumba just opposite na Falcon Restaurant or adjacent na office ya CCM , na jamaa huvileta na kuviuza niliwahi kuviona zaidi ya vitatu pale na kuuliza bei , sikumbuki nadhani ndio GSM or ALOSCO kama sijakosea
 
Back
Top Bottom