Umakini wa MTU ni pamoja na muonekano sio kuwa kama muuza mkaa kijiwenimleta mada nakubaliana na wewe kuwa kwa ujumla Azam ni wazuri mara alfu ukiwalinganisha na Yanga & Simba katika uwezo wa football club management.
lakini ni uswahili uliopitiliza kuongeza uvaaji suti kwenye equation hiyo ya ubora wa Azam.
huo ni USWAHILI. period.
...au kwenda kukamata kile kikombe kichafu cha babu Loliondo.Umakini wa MTU ni pamoja na muonekano sio kuwa kama muuza mkaa kijiweni
Ukimataifa unaanza na personality.simba na yanga wao kazi marumbano tu ya muro na manara.viwanja tu hawana kazi sifa tu za kijingaaKuvaa suti ndo kimataifa.......?????
Ndo maendeleo.....?????
Hata ulaya wanafungwa,na suti zinavaliwaaNgoja warudi na kapu la magoli!! Sijui watavaa suti tena!!
Wachezaji wa Simba na Yanga ungewaona na YEBO YEBO na kaptura hapo. Poor professionalism! Safi Azam.
Hapo alikuwa nje ya talanta yake, yaani alienda huko kwa mambo binafsi.
NA HUYU KAVAA KAPTURA,UNATAKA KUNIAMBIA SIO PROFESHINO HUYU???
Ngoja nikutafutie ushahidi mwingine,huu umepanguaHapo alikuwa nje ya talanta yake, yaani alienda huko kwa mambo binafsi.
Angalia wanapoenda kucheza game wanavaaje mara nyingi.