Hii video ya Zawadi Mauya imenifikirisha saana

SAYVILLE

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
7,687
12,715
Kuna mahojiano ya Zawadi Mauya baada ya mechi ya Yanga dhidi ya timu yake ya KenGold. Kuna mambo kama matatu hivi yalitokea yamenifikirisha sana.

Kwanza, Zawadi alisema KenGold ilijiandaa kutumia wachezaji wake kadhaa lakini ikashindikana kutokana na kwamba wamecheleweshewa vibali. Nimeshangaa kusikia hili maana wale vinara wa kulalamika eti Simba imecheza na Tabora mwanzoni mwa msimu huku Tabora ikikosa wachezaji wake kadhaa sijawaona wala kuwasikia wakilisemea hili hadi nalisikia kwa mstaafu wao.

Pili, wakati mahojiano yanaendelea, huyooo akaibuka Hersi Said, akaingilia mahojiano halafu akamuahidi Zawadi "wataongea". Sikatai, watu wanajuana kitambo, wamefanya kazi pamoja kwa hiyo siyo inshu kuongea au kuahidiana kuongea baadae ila kilichonishangaza baada ya Hersi kuondoka, Zawadi anasema Hersi alimtext kabla tu ya mchezo kumwish "bad luck". Hii sijui limekaaje?

Tatu, baada ya Hersi kuondoka, kuna mama nadhani ni mmoja wa chawa wa Hersi au Yanga alianza kushangilia akimwambia Zawadi "usiwe na wasiwasi, utarudi tu Yaaanga!!". Hii kauli nikiunganisha dots na kupokea text kabla ya mechi na baadae kuahidiwa kwa kuambiwa "tutaongea", inanipa majibu ya maswali yangu yote.

Mara nyingi nimeshasema sana moja ya mbinu ya Yanga wanayotumia ni kuhadaa wachezaji wa timu pinzani kuwa itawasajili watu hawanielewi.
 
Umekuwa mtu wa hovyo sana wewe jamaa! Ulivyosemaga unaacha habari za Mipira niliona sasa unaenda kuwa mtu meterial and well focused, nini kimekufanya kurudi huku?
Utani wa jadi lazima tupopoane kidogo maisha yachangamke
Kote nipo nifatilie nipo jukwaa la siasa nachambua mambo
 
Kuna mahojiano ya Zawadi Mauya baada ya mechi ya Yanga dhidi ya timu yake ya KenGold. Kuna mambo kama matatu hivi yalitokea yamenifikirisha sana.

Kwanza, Zawadi alisema KenGold ilijiandaa kutumia wachezaji wake kadhaa lakini ikashindikana kutokana na kwamba wamecheleweshewa vibali. Nimeshangaa kusikia hili maana wale vinara wa kulalamika eti Simba imecheza na Tabora mwanzoni mwa msimu huku Tabora ikikosa wachezaji wake kadhaa sijawaona wala kuwasikia wakilisemea hili hadi nalisikia kwa mstaafu wao.

Pili, wakati mahojiano yanaendelea, huyooo akaibuka Hersi Said, akaingilia mahojiano halafu akamuahidi Zawadi "wataongea". Sikatai, watu wanajuana kitambo, wamefanya kazi pamoja kwa hiyo siyo inshu kuongea au kuahidiana kuongea baadae ila kilichonishangaza baada ya Hersi kuondoka, Zawadi anasema Hersi alimtext kabla tu ya mchezo kumwish "bad luck". Hii sijui limekaaje?

Tatu, baada ya Hersi kuondoka, kuna mama nadhani ni mmoja wa chawa wa Hersi au Yanga alianza kushangilia akimwambia Zawadi "usiwe na wasiwasi, utarudi tu Yaaanga!!". Hii kauli nikiunganisha dots na kupokea text kabla ya mechi na baadae kuahidiwa kwa kuambiwa "tutaongea", inanipa majibu ya maswali yangu yote.

Mara nyingi nimeshasema sana moja ya mbinu ya Yanga wanayotumia ni kuhadaa wachezaji wa timu pinzani kuwa itawasajili watu hawanielewi.
Comrade, hivi huna mambo ya msingi ya kuyawazia isipokuwa yale mambo ya kipuuzi tu!!
 
Where is a video?
 
Back
Top Bottom