Hii video maana yake nini? Hizi sherehe za leo ni kusherehekea miaka 48 ya CCM au kumpamba Rais Samia?

Nyerere alikuwa anaangalia Television Zanzibar 😂

Huku Tanganyika TV kutuletea Hayati Mwinyi sambamba na Mfumo wa Vyama vingi
 
Unaumia ukiwa wapi?Yaani wanasheherekea miaka 48 na Mwenyekiti wao Samia Suluhu Hassan wewe unaumia?Kukosa kazi kwenyewe ndio huko.
 
Back
Top Bottom