Hii Taarifa ya Tanzania kutumia bilioni 558 kununua magari imekaaje?

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Aug 29, 2007
848
191
Kama kweli Serikali inanunua magari mpya (brand new); kuna ulazima wa kutumia kiasi chote hicho kununua magari kila mwaka; wakati gari jipya lina warranty ya miaka mitano.

20240806_182644.jpg
 
Kama kweli Serikali inanunua magari mpya (brand new); kuna ulazima wa kutumia kiasi chote hicho kununua magari kila mwaka; wakati gari jipya lina warranty ya miaka mitano.

View attachment 3131934
Yes,
ulazima ni mkubwa sana na uhitaji unaongezeka kadiri ya muda unavyosonga..

Yanasaidia sana kuongeza ufanisi na kuirahisishia serikali, mamlaka, idara na taasisi za umma, kufuatilia miradi ya maendeleo kwa uhakika maeneo mengi nchini, lakini pia magari hayo yanatumika kuwafikia wananchi wengi zaidi huko waliopo na kushihudia hali halisi ya kiwango cha maendeleo waliyonayo na kuchukua hatua stahiki kwa mustakabali mwema wa usitawi wa Taifa letu..

zaidi sana ni uhujumu uchumi kukwepa kulipa kodi🐒
 
Haya magari yanachakaa haraka hivyo? Mbona kila mwaka yana bajeti kubwa sana?

Biblia inasema, Luka 12: 34-Pale ilipo hazina yako, ndipo pia utakapokuwa moyo wako.

Hakuna kitu kibaya kama self sabotage. Ukidhani unakimbia ili uwahi. Kumbe na wewe na wajukuu zako wote mnajichelewesha.
Unajenga nyumba moja au mbili, za kifahari. gari kubwa ambalo umelipata kwa magumashi. Halafu mnakaa na watoto ambao ni spoiled na wanajua kuvuna wasipopanda, mkishindana kula na kunya hapo hapo mlipokaa.
Ukistaajabu ya Musa......
 
Tunajiibia wenyewe. Haya magari kila mwaka yanabadilishwa? Kwa kazi zipi?
Ccm ni waizi kuna namna wananufaika katika biashara hiyo ya magari, baada ya kuyatumia kwa muda mfupi huwa wanauziana wao kwa wao kwenye mnada wanaoita wa serekali, unaweza kuuziwa hata million 5
 
Na haya mambo ukihoji unajukuta umelala pembeni ya mtaro, wamevunja O ring 😂 😂 😂 😂
 
Yes,
ulazima ni mkubwa sana na uhitaji unaongezeka kadiri ya muda unavyosonga..

Yanasaidia sana kuongeza ufanisi na kuirahisishia serikali, mamlaka, idara na taasisi za umma, kufuatilia miradi ya maendeleo kwa uhakika maeneo mengi nchini, lakini pia magari hayo yanatumika kuwafikia wananchi wengi zaidi huko waliopo na kushihudia hali halisi ya kiwango cha maendeleo waliyonayo na kuchukua hatua stahiki kwa mustakabali mwema wa usitawi wa Taifa letu..

zaidi sana ni uhujumu uchumi kukwepa kulipa kodi🐒
Hii serikali ya Mama ina ufanisi gani. Embu fafanua.
 
ni muhimu sana ukazinatia hoja mahususi mezani,

hata hivyo,
Serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi na kipenz cha waTanzania Dr.Samia Suluhu Hassan inaendelea kuboresha huduma za uhakika za kijamii hususani za internet ili uendelee kuinjoy humu JF,

Zaidi sana Serikali sikivu ya CCM itaendelea kuboresha huduma za uhakika za maji, umeme, elimu, afya, kilimo, uvuvi, miundombinu, ufugaji, biashara, usafishaji, ulinzi na usalama wa watu mali, na makazi yao, ili kila mTanzania ainjoy matunda ya mipango ya uongozi madhubuti sana wa comrade Dr Samia Suluhu Hassan mwenyekiti wa CCM Taifa 🐒
 
ni muhimu sana ukazinatia hoja mahususi mezani,

hata hivyo,
Serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi na kipenz cha waTanzania Dr.Samia Suluhu Hassan inaendelea kuboresha huduma za uhakika za kijamii hususani za internet ili uendelee kuinjoy humu JF,

Serikali sikivu ya CCM itaendelea uboresha huduma za uhakika za maji umeme, elimu, afya, kilimo, uvuvi, miundombinu, ufugaji, biashara, usafishaji, ulinzi na usalama wa watu mali, na makazi yao, ili kila mTanzania ainjoy matunda ya mipango ya uongozi madhubuti sana wa comrade Dr Samia Suluhu Hassan mwenyekiti wa CCM Taifa 🐒
Kipenzi cha watanzania?😂😂
 
Back
Top Bottom