Hii Sapraizi imekaaje?

kaka msalimie wifi.. kaka me ni dada yako usimfokee mwache aendelee na ujenzi mkimaliza mwambie muipangishe hiyo nyumba halafu mjenge nyingine tena .. nina maanisha najua wanawake kaka yangu sitaki kukuona umepata shida na ukafa kabla ya wakati sitaki kusemea kuwa kajengewa hapana ila utashindwa kuwa na control kaka yangu nakupenda bado kaka. haya pole na hongera
Naungana nawewe...

Hiyo nyumba waipangishe wajenge yao nyingine. Vinginevo hatakua comfortable na nyumba hiyo ya surprise
 
Kabla yayote muulize hati kaandika jina gani? Kama kaadika jina lake tu umeliwa kaka.
Mkuu mi sina tatizo na umiliki wa hiyo nyumba..Wala hilo halinisumbui..Swala ni kwamba mwanamke unayelala na kuamka nae deile hajakushirikisha kama kuna kitu kama hiki anafanya
 
Tafsir ya nyumba yenu ni ipi hapo mkuu?
Kiwanja mlinunua pamoja then akajenge yeye bila kukwambia au ikikamilika mtakuwa na hat ya pamoja
Au tafsir ya Nyumba yenu ni ina umiliki wake ila mtakaa pamoja?
 
Tafsir ya nyumba yenu ni ipi hapo mkuu?
Kiwanja mlinunua pamoja then akajenge yeye bila kukwambia au ikikamilika mtakuwa na hat ya pamoja
Au tafsir ya Nyumba yenu ni ina umiliki wake ila mtakaa pamoja?
Tafsiri ipo kanisani mzee. Mwili mmoja
 
Back
Top Bottom